Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Siasa kweli ni uzuzu. Chadema mkimpokea huyu jamaa, nitakuwa nina hakika kuwa kweli UCHAGA na U-NORTH ni shida nchi. Pamoja na kumtusi na kumkejeli kipindi chote hiki bado mnamuona lulu?!
kwani wewe unamuonaje? si lulu? kama siyo kwa nini?
 
Hivi,Kwa nini viongozi wa chadema wanatuabisha kiasi hiki?....Hivi mbowe na slaa wanafikiri wakimkaribisha lowasa watachukua dola?....Hata mapokezi yao yatakuwa ya hovyo kuanzia kanda ya ziwa mpaka kusini!...Amini.CDM Itapotea kwenye ramani ya kisiasa tanzania

subiri dawa ikuingie
 
Kama ni kweli basi mkae mkijua KAKOBE NI MTUMISHI HALALI WA MUNGU na ccm IMEKUFA RASMI MIKONONI mwa KIKWETE na WALA HAITAKAA IFUFUKE ABADAN.

NIMEMALIZA.
 
Siasa kweli ni uzuzu. Chadema mkimpokea huyu jamaa, nitakuwa nina hakika kuwa kweli UCHAGA na U-NORTH ni shida nchi. Pamoja na kumtusi na kumkejeli kipindi chote hiki bado mnamuona lulu?!

Licha ya pesa aliyotoa huyu ni mwenzetu wa kaskazini.
 
VUA GAMBA VAA GWANDA. Lowassa ndio mapinduI ya maendeleo ya Tanzania. Kupata maendeleo lazima maamuzi magumu yafanyike. Binafsi nakupongeza sana, karibu katika vita ya kutukomboa watz katika ukoloni wa miaka 54 wa kaburu ccm.
 
Hii movie inakwenda kama Lizaboni alivosema ....
 
Last edited by a moderator:
Jamani watu wote sasa hivi wamekuwa wakiongelea lowassa kusimamishwa ukawa kupitia chadema. Lakini siyo chadema wala ukawa wanaojiuliza je, wakishindwa urais 2015 hatma yao itakuwaje?

Pesa zao zitakuwa zimepotea bure na biashara zao kusambaratikia mbali
 
Lowassa anaweza kuwa rais wa Tanzania......historia iko upande wake
 
Ramli chonganishi hii! Kwani CCM waliposhindwa kuwavua magamba walitoa sababu gani? Kwanini CCM hawakumfikisha mahakamani mhusika kama walivyomfunga Mramba na mwenzake?

SLAA na tundu lissu wana wakati mgumu sana kumnadi edward lowassa
 
Mbona unalia lia hadi povu linakutoka, Kwani wewe mfuasi wa chama kipi? Inakuaje unatoa povu hivi wakati wewe ccm? tuache sisi CDM, tunaelewa tunachokifanya, usitusaidie kulia lia!
Kama kawaida tulitaraji CCM ndiyo wafurahi maana CDM inaenda kujifia wao ndiyo wanaongoza kulialia.
Hii inanikumbusha enzi za kumfukuza Zitto waliyokuwa wakilalamika walikuwa ni CCM.
Viva CHADEMA.
 
Kaitengenezeni upya acheni ubishi
kwani wewe hutaki lowassa aende ukawa? kama hutaki kwa nini?

Hivi Kwa nini maccm mnamuogopa lowassa kwenda ukawa? si mlimchinjia bahari mkimtangaza kuwa ni fisadi? mwacheni fisadi wetu lowassa, sisi tunamhitaji.:A S-rap:
 
Mkuu kama LOWASA anaweza kuindoa CCM acha apeperushe bendara ya CHADEMA/UKAWA we are so tidy with CCM haina haja ya kueleza kwa nini tumechoka najua, unajua

Unajua ccm tumewachoka maanayake ni watu wake na sio rangi za nguo zao! Lowasa ni ccm walewale najua anaweza kuwa msafi lkn lisemwalo lipo! Apokelewe kama mbunge tu na sio kugombea urais kitakachofanyika tutakuwa tunapambanisha ccm @ kwa ccm jambo ambalo hatutaki wananchi wa kawaida!
 
Back
Top Bottom