All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,452
- 2,573
CCM wanasheekea, ila wafuasi wa CDM wanasikitika. Mi kinacho nisikitsha ni uogo wa DR. Slaa, Mbowe.
Ni kweli kabisa
CCM wanasheekea, ila wafuasi wa CDM wanasikitika. Mi kinacho nisikitsha ni uogo wa DR. Slaa, Mbowe.
Hivi wewe kwa akili yako nusu kijiko, kati ya Lowassa na ccm nani kikwazo cha maendlleleo hapa nchini? Bora lowassa au ccm.
Lowassa as an individual sio hasara au hatari hata kama ni corrupt kuliko ccm as a system ambayo ni corrupt as whole.
Ccm ni hatari zaidi kuliko lowassa, kikwazo cha maendeleo nchi hii ni ccm sio Lowassa.
Hiyo Clouds Media tunaipata vipi??Watakuwa clouds media kuongea saa 9
ukiona maccm yanakataa jambo ujue hilo ndo linalotakiwa na Watanzania. Ukiyaona yanakubali jambo jua hilo kwa Watanzania ni kifo. Ukitaka kusimama kwenye haki basi simama kinyume na ma ccm.
Jamani watu wote sasa hivi wamekuwa wakiongelea lowassa kusimamishwa ukawa kupitia chadema. Lakini siyo chadema wala ukawa wanaojiuliza je, wakishindwa urais 2015 hatma yao itakuwaje?
Ajabu fisadi kuwa mtakatifu hiyo ndio chadema bwana watu wa kupiga pesa.watanzania gani unawaongelea??? watu wanasheherekea hizi taarifa!
Aliyetengeneza hii picha mwambieni kasahau kamguu hapo penye duara...