Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

He!!! Kumbe tatizo sio ufisadi na mafisadi,,,, tatizo kumbe ccm???
Kwa hiyo fisadi akitoka ccm kuja kufanya ufisadi chadema ruksa???

R. I. P CDM

Kwanini majirani zetu mnalia zaidi kuliko wafiwa, kuna tatizo kwani?
 
Kama chadema watampa lowasa nafasi ya kuwa mgombea basi siasa sio hasa!!

Hivi wewe kwa akili yako nusu kijiko, kati ya Lowassa na ccm nani kikwazo cha maendlleleo hapa nchini? Bora lowassa au ccm.

Lowassa as an individual sio hasara au hatari hata kama ni corrupt kuliko ccm as a system ambayo ni corrupt as whole.

Ccm ni hatari zaidi kuliko lowassa, kikwazo cha maendeleo nchi hii ni ccm sio Lowassa.
 
Yaani siku hizi habari za uongo zimekuwa nyingi hadi kuamini zile za ukweli hata kama ni zakweli inakuwa ngumu..., dawa ni kusubiri mpaka issue itokee hizi tetesi siku hizi 99% ni udaku
 
Maskini, Magufuli, is a good guy, but in a wrong party....maskiniiiii weeee
 
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
Ni kweli
 
Kama chadema watampa lowasa nafasi ya kuwa mgombea basi siasa sio hasa!!

Mkuu kama LOWASA anaweza kuindoa CCM acha apeperushe bendara ya CHADEMA/UKAWA we are so tidy with CCM haina haja ya kueleza kwa nini tumechoka najua, unajua
 
Yaani siku hizi habari za uongo zimekuwa nyingi hadi kuamini zile za ukweli hata kama ni zakweli

Kweli kabisa mkuu unaeza kuta labda hyoilikua Mwaka jana ila Leo ndo inatumika
 
Tangu mwishoni mwa miaka ya utawala wa Mkapa nimekuwa nikiiona ccm kama chama kinachozeeka na hatimaye kufa taratibu. Kifo cha ccm kimekuwa ni eminent. Jambo ambalo sikuliwazia ni muda, kuwa muda ungekuwa mfupi hivi. Kifo cha hili lichama kimekuja, kwa uhakika, ghafla na haraka sana.

Ni dhahiri sasa uwezekano wa Lowassa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania ni almost 95% na hata asipokuwa Rais ni dhahiri ataondosha ule upuuzi wa ccm bungeni wa ndiyoooooooooooooooooooooo, kama ukichaa flani hivi.

ccm inawalazimu sasa muanze kufikiri na mnalazimika sasa kuajiri watu competent kwenye chama na serikali yenu ili waje wawasaidie kujenga upinzani imara. mkiendelea kujikusanya tu vilaza kiundugu na kirafiki hata huko kwenye kambi ya upinzani bungeni hamtaonekana.

Mabadiliko haya yanakaribishwa kwa mikono miwili na kila Mtanzania mpenda Haki, Amani, Maendeleo na Utulivu wa Nchi yetu.

Tanzania tunastahili kuwepo panapotustahili katika uwanja wa dunia hii. Tumedunishwa sana na Ma ccm kupitia ufisadi uliokithiri, uzembe kazini, incompetence, undugulization, unprofessionalism nk nk.

sasa ni wakati wa Taifa hili kukombolewa kutoka katika mikono ya mkoloni mweusi.
 
Kwa fununu watanzania wamekasirika sana juu ya ukigeu geu wa CHADEMA. Kipindi wanatangaza majina ya list of shame, watanzania walifurahi sana na CHADEMA walipata umaarufu. Moja ya fisadi papa ndani ya CCM na aliyetakiwa kujivua gamba tangu mapema alikuwa Lowassa. Ila cha ajabu aliendelea kukomaa ndani ya CCM akijua kwamba anaweza kuwanunu wajumbe mpaka rais na baraza la ushauri la wazee. Ila kumbe system (UT) waligundua kuna mtu anataka kuuza nchi. JK ukamuingia uzalendo na kufanya maajabu ya kutuletea mgombea asiye kuwa na doa. Sasa upande mwingine wa shilingi.

Iwapo Lowassa angepitishwa na CCM, tungeshuhudia magazeti kama ya Tanzania daima yakilemba;
  • CCM wapitisha fisadi urais
Je ndani ya CDM sasa watamuitaje??? Je hii si ndiyo dalili kufa CDM?
"Kilichowapa umaarufu Dr. Slaana CHADEMA ndicho kinawashusha."

Zitto aliitwa na anaendelea kuitwa Yuda Msaliti, wakati Mbowe ana damu za wana CDM waliokufa kwenye maandamano na mikutano ya CDM Kwa mil 10!! Inasikitisha.
 
Ni dhahiri sasa anguko la ccm live. Mwaka huu CHADEMA na UKAWA itapita bila Kupingwa majimbo mengi mno. Magufuli anakuwa m/kiti wa kwanza wa ccm asiyekuwa rais.Kiukweli JK alikuwa chaguo la Mungu.

DID YOU MEAN GORBACHEV WA CCM/ii
 
Mkuu kama LOWASA anaweza kuindoa CCM acha apeperushe bendara ya CHADEMA/UKAWA we are so tidy with CCM haina haja ya kueleza kwa nini tumechoka najua, unajua
Hii ngoma bado mbichi. Msisherehekee mapema
 
Aliyetengeneza hii picha mwambieni kasahau kamguu hapo penye duara...
 

Attachments

  • 1437995579354.jpg
    1437995579354.jpg
    46.8 KB · Views: 302
Kwa hiyo mtu mbaya Lowasa kaenda shemu nzuri?
ndo maana yake. Nguo ikiwa chafu mahali pake ni kwenye maji safi na sabuni ili itakate. huwezi kufua madoa ya shati jeupe kwa kuliloweka kwenye maji ya tope unless wewe ni uvccm.
 
Identity yenu ilikuwa ufisadi, mnapokwenda kumnadi huyu fisadi, mnakwenda na Identity ipi?

kuifurumusha CCM madarakani, haitosho kuimba ufisadi ufisadi kama huna means ya kuwatoa na kuwadhibiti utaimba milele. Kama opportunity ya kuwatoa madarakani na kubadilisha mfumo inatokea, wewe hutaki unataka wabaki pembeni waendelee kuimba ufisadi, ufisadi hauko serious go go go CHADEMA
 
Mbona unalia lia hadi povu linakutoka, Kwani wewe mfuasi wa chama kipi? Inakuaje unatoa povu hivi wakati wewe ccm? tuache sisi CDM, tunaelewa tunachokifanya, usitusaidie kulia lia!
 
Back
Top Bottom