Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Jamaa kadharirishwa sana na JK hadi sisi mashabiki wake tulikuwa tunawaza kama kafanyiwa Lowassa hata vipi watoto wa mafukara kama sisi!!? Mungu ni mwema kwa kumpa ujasiri mwingine Lowassa.
Wewe ni mnafiki, unamtukana mzazi wako fukara.
Ungeweza kujua hata ABC?
Acha unafiki.
 
Kumpokea yeyote hata Lucifer ni kuonyesha chama hakina agenda, hakina manifesto ya kuwashawishi wapiga kura wakichague kiwaongoze. Shame on CHADEMA kama hii ni kweli.

dah kessy amehamia ccm toka chadema,shame on cccccccccccm
 
dingi wa taifa alishasema mwenyeweee kuwa ccm itauliwa na mwanaccm na sasa yatatimiA
 
Siasa itabaki kuwa siasa lakini Rais wa Tz anajulikana hadi wa leo hii.

Yupo tu katulia huenda hata yeye mwenyewe hajui swala ni kwamba ataingiaje Ikulu?

Jibu ni kwa namna yoyote ile sio kwa votes za wananchi peke yake tu.
 
JK nae atahamia sio muda mrefu i hope...yaaanii sipati picha CCM itapona vipi sasa...Maana UKAWA itakuwa hatari tupuuuu...kuleee Prof. Lipumba..huku Dr. Slaa, palee Mfalme Lowassa, kuleeeee Mbowe, hapa kati Maalim Seif, nyumaaaaaa Mdee, Bulaya, kati Lembeli...kushoto Salum Mwalimu, Kulia, Wenje, msigwa, Mnyika...uuuuuuuhhhhh..

CCM....👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋 tulikupenda, ila shetani kakupenda zaidiiiii...
 
chochea kuni chochea wanaanza kunena kwa lugha chochea moto.Mapanya buku lumumba yananena kwa lugha chochea chochea kuni
 
mwaka huu kweny siasa raha sana haina haja ya kufuatilia series za kizungu
 
Ni mapema,lakini kama kaihama CCM itakuwa mapambano makali ya kumdhibiti.Nahofia machafuko,Lowassa ni mkubwa mno kupuuzwa na CCM,anjua mengi ya serikali na CCM
 
siri zote za "goli la mkono" zitakuwa hewani na hawatapata pa kujificha mwaka huu.
Oktoba hii kimbembe.
Wacha tukakabe kwenye BVR sasa manake huko ndo magamba walipopania kuharibu gemu
 
Sijui ni nani huwa anamshauri madudu Fisadi Lowassa!!
 
wengi wetu tuliichukia ccm sababu ya ufsad Wa akina lowasa,Leo eti lowasa huyuhuyu asaidie kuiondoa ccm,to hell wote waliotusaliti.tutawazomea wote walioshiriki huu uovu.

Hata Kenyata kule Kenya aliitwa fisadi hapo kabla kwa kujilimbikizia mali lakini leo hii ndio Rais na nchi inazidi kuimarika na ukumbuke ni huyo huyo Kenyata ndiye aliyepunguza Mshahara wake kwanza halafu ukafuata kwa Wabunge na Mawaziri. nimekuandikia haya nikitaka kukufumbua macho kuwa ndani ya CCM fisadi ni mfumo ulio ndani ya CCM hivyo mtu akitoka ndani ya CCM ufisadi wake unapotea kwani atakuwa nje na huo mfumo wenu.
 
Back
Top Bottom