Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Sijui ni nani huwa anamshauri madudu Fisadi Lowassa!!

ESCROW lowasa hakuwepo
DEEP GREEN Lowasa hakuwepo
NDEGE YA RAIS lowasa hakuwepo
Nyumba za serikali lowasa hakuwepo
RICHMOND ni ya kikwete na Ataikabidhiwa Rasmi wiki hii

Subiri Uone mchezo
 
Meandu Plz hivi ni kweli!!!!????????????????
Mwaka 2005 JK aliokolewa na Mkapa kwenye vikao baada ya kusema mafaili ya wagombea yasitumike ila nani anakubalika. JK alianza kuchezewa rafu mapema na kitengo na kulalamika kwa mwenyekiti. Plan B ilikuwa kwenda chadema kama jina lake lingekatwa.
 
Kweli nchi inakwenda kutikisika, huku mitaani,maofisini,masokoni, kila kona Ni habari ya mujini mwamba WA siasa za tz Katua ukawa..na hyo Ni rasharasha sasa mafuriko kamili yanakuja kaeni mkao WA Kula nchi inakwenda kusimama na kutikisika
 
Una uhakika wa hao waliokuwa wabunge kurudi mjengoni! Vyama vyote karibu vinamaliza michakato ya kura za maoni, je watawahi kura za maoni za Chadema?

Kumbuka msemaji wa mwisho wa nani agombee ni wa kamati kuu. Hivyo matokeo ya kura za maoni yanaweza kubadilishwa kwa maslahi mapana ya chama na mustakabli wa taifa.
 
Hata Kenyata kule Kenya aliitwa fisadi hapo kabla kwa kujilimbikizia mali lakini leo hii ndio Rais na nchi inazidi kuimarika na ukumbuke ni huyo huyo Kenyata ndiye aliyepunguza Mshahara wake kwanza halafu ukafuata kwa Wabunge na Mawaziri. nimekuandikia haya nikitaka kukufumbua macho kuwa ndani ya CCM fisadi ni mfumo ulio ndani ya CCM hivyo mtu akitoka ndani ya CCM ufisadi wake unapotea kwani atakuwa nje na huo mfumo wenu.

hawezi kuelewa kama hawezi kuipa akili yake uhuru wa kuelewa.
 
na wale wanec wa " tuna Imani na Lowassa,
oya oya
Lowassa kweli
kweli kweli Lowassa
Lowassa kweli
kweli kweli kweli Lowassa. "
Huku makofi na vilege vilege vikilindima?

wameshasahau!!! ndio huitwa akili kuku.
 
Wakuu,

Nimepitia video ya Mwl. Nyerere akizungumzia kukatwa Lowassa na CC mwaka 1995.

Nyerere, alibainisha kwamba Lowassa amekatwa kwa hoja na sababu za msingi zilizoletwa na wajumbe. Na ikumbukwe Kingunge naye alikuwepo kwenye jopo la wakataji 1995.

Sasa kwa kuwa huyu mtu alionekana hana sifa toka 1995 za kuwa rais. Sasa alitegemea atapata?

Ni hayo tu.
 
Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM.... JK Nyerere...!!!
 
Nashangaa Watanzania wengi wanaogopa mabadiliko, hivi wanafikiri ni kazi ndogo kuiondoa ccm madarakani iliyokaa kwa miaka zaidi ya 40?
Wanahitajika watu strong kama Lowasa.

Ab initio, I concur with You laki si pesa. CCM si tu chama cha siasa, Ni Dola. Narudia tena,CCM si Chama Dola,bali Dola! Kuitoa madarakani isifananishwe na kenya,zambia na kwingineko. Hapa ni case tofauti kabisa. Na i have this feelings,the folks may pooh-pooh the oust. Hivyo basi,njia yoyote itakayofaa kuiondosha CCM basi itumike.
 
Last edited by a moderator:
Lowassa hii tamaa ya kuutaka urais haijawahi kutokea toka dunia iumbwe
Ndio maana anataka kuonyesha maajabu ya dunia ya kukifuta kwenye ramani ya sisa chama kikongwe kilichodumu madarakani tangu mwaka 1958.
Nape amesema ccm imeweza kuzuia mafuriko kwa mikono!
Haaya, ngoja tusubiri tutaona ukweli uko wapi,,,
 
Nashangaa Watanzania wengi wanaogopa mabadiliko, hivi wanafikiri ni kazi ndogo kuiondoa ccm madarakani iliyokaa kwa miaka zaidi ya 40?
Wanahitajika watu strong kama Lowasa.

Ab initio, I concur with You laki si pesa. CCM si tu chama cha siasa, Ni Dola. Narudia tena,CCM si Chama Dola,bali Dola! Kuitoa madarakani isifananishwe na kenya,zambia na kwingineko. Hapa ni case tofauti kabisa. Na i have this feelings,the folks may pooh-pooh the oust. Hivyo basi,njia yoyote itakayofaa kuiondosha CCM basi itumike.
 
Last edited by a moderator:
Duuuu 😔😭😢😓
Mungu bariki CDM
 
Hata Kenyata kule Kenya aliitwa fisadi hapo kabla kwa kujilimbikizia mali lakini leo hii ndio Rais na nchi inazidi kuimarika na ukumbuke ni huyo huyo Kenyata ndiye aliyepunguza Mshahara wake kwanza halafu ukafuata kwa Wabunge na Mawaziri. nimekuandikia haya nikitaka kukufumbua macho kuwa ndani ya CCM fisadi ni mfumo ulio ndani ya CCM hivyo mtu akitoka ndani ya CCM ufisadi wake unapotea kwani atakuwa nje na huo mfumo wenu.
ubalikiwe kwa kulijua hili. Ni kweli na uchumi wa kenya umekuwa gumzo, tunataka rais anayechukia umaskini siye anayetupeleka umaskinini.
 
Back
Top Bottom