Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Hapa kwenye wabunge 150 ndio hasa kwenye suala la msingi - tulikuwa tuna imbalance kubwa sana ya power kwenye lile jengo...
Una uhakika wa hao waliokuwa wabunge kurudi mjengoni! Vyama vyote karibu vinamaliza michakato ya kura za maoni, je watawahi kura za maoni za Chadema?
 
Ukawa si ndo walikua wanaongoza kumuita Lowasa fisadi??? Sasa imekuaje tena!!!!
 
The more wanavyochelewa kutangaza inazidi kuleta mkanganyiko. Ngoma ikivuma sana hupasuka! Ni wakati sasa wa UKAWA kufanya maamuzi!
 
mchambuzixx

Hatimaye mbuyu mkubwa wa enzi unaelekea kuangushwa duuuu kweli huu ni mpango wa Mungu
 
Last edited by a moderator:
hilo sio kosa lako, yeye lilikuwa kosa la kimfumo tu amesharekebisha
nasubiri movie yenyewe kwa muda wa wiki mbili sasa ccm imefutika magazetini kulikoni?

kikwete na lowassa waliuasisi mfumo wa populism ndani ya chama cha mapinduzi sasa ccm inaenda kupambana na Populist sijui nini kitatokea ila kwa mbali naona anguko la CCM au UKAWA
 
Angekuwa mchafu kweli asingethubutu kuhama.. Pili CDM siyo wapumbavu wanajua wanachofanya. Tusubiri watujuze.. Nchi ya ahadi ileeee!!! Hatuwezi kuvunja kufuli wakati funguo:A S-key: umekuja wenyewe. :welcome: Ukawa

Well said,jamaa angekuwa mchafu asingekuwa na ubavu wa kuhama,....kama kikwete aliona kumkata ndo solution ili asiweze kulipiza kisasi basi bado ana wakati mgumu
 
Una uhakika wa hao waliokuwa wabunge kurudi mjengoni! Vyama vyote karibu vinamaliza michakato ya kura za maoni, je watawahi kura za maoni za Chadema?
Chadema yenyewe iko wapi, hii iliyoegemea kwenye kivuli cha LOWASSA na CUF?
 
Hapa CDM mmeniudhi na kura yangu mwisho ulikuwa mwaka 2010. Kama itakuwa ni kweli kuwa EL mnampa kugombea Urais basi Nyie hamkufikiria vyema. Na nitashawishika kuamini kweli FAM kapewa B10. Siamini macho yangu hata kidogo. Hasiraaaa......
 
Waqt wanachama wa NCCR wameenda TLP walihama na vyeo vyao sasa sijui hawa wa lowasa itakuwaje!
 
Well said,jamaa angekuwa mchafu asingekuwa na ubavu wa kuhama,....kama kikwete aliona kumkata ndo solution ili asiweze kulipiza kisasi basi bado ana wakati mgumu
Duh! Ina maana yale mapovu mliyokuwa mnatoa kuwa Lowasa ni fisadi yalikuwa bure kabisa? Basi tusisikie upuuzi wowote wa ufisadi
 
Wakuu kuna picha hii inasambaa kwa kasi huku wasap
 

Attachments

  • 1437987546285.jpg
    1437987546285.jpg
    48.2 KB · Views: 359
Back
Top Bottom