Mukuthi Karisian
New Member
- Jun 2, 2015
- 1
- 0
mafuriko haya mpaka wp? namwamini mwlm, upinzani wa kweli utatoka ndani ya nyumba - ccm
Sasa Ccm ina ubaya gani tena kama mafisadi wanaenda chadema? Msururu wao, Nazir Karamagi,Andrew Chenge, na the like, wote wanahamia chadema na ccm itabaki safiiii!
Jamaa kadharirishwa sana na JK hadi sisi mashabiki wake tulikuwa tunawaza kama kafanyiwa Lowassa hata vipi watoto wa mafukara kama sisi!!? Mungu ni mwema kwa kumpa ujasiri mwingine Lowassa.
Duh! Ina maana yale mapovu mliyokuwa mnatoa kuwa Lowasa ni fisadi yalikuwa bure kabisa? Basi tusisikie upuuzi wowote wa ufisadi
kweli bana, kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu itategemea maslahi na kuwa na mtu huyo kwa wakati huo.ktk siasa duniani kote hakuna lisilowezekana kuanzia USA,Senegal,Zambia,Madagascar,Kenya,Malawi...
Identity yenu ilikuwa ufisadi, mnapokwenda kumnadi huyu fisadi, mnakwenda na Identity ipi?
Watamuita msafi! Tehetehetehe. Leo fisadi amekuwa msafi. Sijui wamemsafisha lini
Mimi nitakua wa mwisho kuchangia
Lowassa ni mtu mzima na anajua afanyalo.Naomba asije aga dunia bila kutuambia sakata la Richmond lilikuwaje!?
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA
View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA
View attachment 271483
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
Nadhani Huu ndio mwanzao wa mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania.
Tulitarajia kuona wanachama wengi waliooona serikali tawala ikifumbia macho ufisadi na utendaji mmbovu wa watendaji wake, wakihama vyama na kwenda amabapo wanaweza wakatoa sauti zao kwa uhakika na usalama zaidi, ila bado uthubutu wa baadhi ya wanasiasi uko chini...ila utaongezeka...Lembeli amefungua njia, na hili la Lowasa lilitarajiwa saana, ILA quotion yangu ni kwamba, Opposition iwe na Jicho la Tatu (3) katika kufuatilia numbers...NUMBERS...Kwani Ushindi is all about NUMBERS...SUBSTRACTION...na ADDITION na Multiplication ili kupata Asilimia...Haya yote yatawezekana endapo..Zoezi la BVR..linaloendelea litaweza kufanyiwa...VERIFICATION....UHAKIKI wa wale wote waliojiandikisha...ili tuwe na number kamili...Tuweze kuja kutoa, na kuzidisha tupate ASILIMIA ya MSHINDI...
Goli la mkono liko hapo...Lets BE MACHO...
Nawakilisha, na naungana na watanzania wote katika kipindi hiki cha mpito cha Mabadiliko endelevu ya SIASA Tanzanai..
Mungu Endelea Kuibariki Tanzania Yetu, na watu wake!!!!