Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Watakaoondoka ni wachache na watakaokuja ni wengi, JEMBE lije tu, ila hizi picha ni Photoshop hebu angalieni bega la salum mwalimu pale high table
 
Hivi kuna watu bado wanafikra kuwa rais wa tz anaweza kutoka nje ya CCM kwa wakati wa sasa.
 
CCM wana akili saaaaaana, duuuuuu, CHADEMA kwiiiiiiisha kabisa....mimi yangu machoo......time will tell.....watanzania ni wepesi saaaana kusahau historia..kumbuka tulianza na Mrema........

acha kuishi kwa kukalili watanzania wa sasa sio wote wako kama enz ya mrema, hapa la msingi kukiondoa chama cha kifalme madarakani. watu wanatawala nusu karne na hawana lolote walilofanya zaidi zaidi wamejigeuza miungu watu na kibri ju.
 
Msigwa kawa mwembamba kuliko maelezo, Ukiwa na hela bwana bavicha na kaka zao wote weka kapuni...Jiwe wataita chuma
 
​Nadhani hapa strategy ni kuiondoa SISIEM madarakani, so wampokee tu
 
duh hii sasa cjui tuiite vipi,Slaa,Lisu mtamsafisha vipi huyo mtu mlozunguka nchi nzima mkimnadi kuwa ni fisadi na kaifikisha nchi ktk hali mbaya tuliyonayo sasa
 
Huku, niko njiani nasikia nderemoooo, Nasikia UKAWAAAA, Lowassa...Lowassaaaaa...Nikasema nn jamani, wanasema mfalme katua UKAWA...sasa kitawaka...yaani ni vifijo, shangwee, vigelegele, furahaaaa hadi basiiii, yaaani daaaaahhh...
 
Maandalizi ya Lowasa kugombea ubunge Monduli kwa UKAWA(CDM)yamepamba moto.Mzee hana haja na urais. Dr Slaa atosha.
 
Sote tunakumbuka kuwa kwenye ile list of shame ya slaa ya watu 11 Lowassa alikuwa mmojawapo.

Leo hii Slaa itabidi aanze kwanza kumtoa kwenye ile list na kuwabakiza 10. Kwamba nilikosea kumtaja Lowassa, kwani majina niliyoletea na vijana wangu yalikuwa 10 shetani akaongezea na la Lowassa, ashindwe na alegee kabisa, hahaaaaa!

Ndugu wananchi nawahakikishia Lowassa ni kamanda na mtu msafi kabisa kuliko mnavyofikiria.

Pipoooooooooooooooz!!! Pawaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
I can't wait .....

Mwaka mrefu Sana huu...

nitampigia kura mgombea yeyote atakayesimamishwa na UKAWA..

That's my stance,,,
 
CHADEMA kuleni makombo yote ambayo tajiri wenu CCM wanadondosha.Mwishowe mtakaa mashavu kama mazeze na kuanza kuharisha kipindupindu

Unashangaa nini mbona hata Slaa alikuwa CCM? Adui yetu ni CCM tutahitaji nguvu yoyote kutoka popote ya kuitoa CCM madarakani. Rais Moi wa Kenya alilazimisha kumteua Uhuru Kenyatta kuwa rais wananchi wakamkataa na KANU ikajifilia zake, lakini ni huyo huyo Kenyatta aliyeonekana mchafu uchaguzi uliofuata amechaguliwa na ni rais Kenya inchanja mbuga wakati sisi tuko hoi. Hawakumnyanyapaa ja faida wanaiona

Ukishajua adui wa maendeleo ni nani basi huna shaka, nadhani viongozi wa CHADEMA wamegundua ni mfumo uliojikita wa utawala wa CCM na ili kuutoa ukipata nafasi ya mtu mwenye ushawishi na nguvu ndani ya CCM huna budi kuutumia ili kupata ushindi.
 
Vituo vya kujiandikishia kura Dar kwalipuka kwa shangwe baada ya vijana kushangilia ujio wa Lowassa Ukawa.... Wanasema "wakati wa ukombozi ni sasa, na kuanzia saizi hatuwapishi wazee kwenye foleni manake hawa wazee ndio wanajifanya kukipenda CCM"....
 
Back
Top Bottom