Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Nini Kamanda Edward Lowassa; hata aje Shetani Mkuu, Lucifer, as long as the strategy ni kuiondoa CCM, Chadema au chama kingine chochote kimpe support. Say no to CCM by all means.

umemaliza kila kitu .... sasa narudi nyumbani kupumzika
 
Tamaa ,uchu wa madaraka unamsumbuwa huyu mzee.watanzania tuwaepuka watu hawa.
 
Tripu hii wakichakachua mlango wa mbele tunaingilia wanyuma. Bora tz iwe kama libya kuliko kuongozwa na party ya chukua chako mapema (ccm)

hii si kauli nzuri jamaa yangu, tuna namna nyingi za kuleta mabadiliko lakini si approach ya libya.

Mind you, tuna watoto, wazazi, wagonjwa mahospitalini, wazee,na uombe hicho unachokitaka kisitokee wakati uko wodini na dripu (wewe mwenyewe)

Kwanza umeshajiandikisha?
 
Kweli mwalimu Nyerere alikuwa ana ona mbali na kauli yake mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya CCM leo hii inaenda kutimia!Kauli hii imeishi miaka mingi na leo inajidhihirisha.

Tukubali tu huyu hakuwa mtu wa kawaida!

Tusubiri kauli hiyo sasa itimie kwa vitendo.
 
CCM wana akili saaaaaana, duuuuuu, CHADEMA kwiiiiiiisha kabisa....mimi yangu machoo......time will tell.....watanzania ni wepesi saaaana kusahau historia..kumbuka tulianza na Mrema........

Hahahahaaa mtaongea sanaaa mmeshindwa kwa Lowassa
 
Mlisema Lowassa ni mtu mwenye maamuzi magumu,haya kachukua maamuzi magumu ngoja tumsubirie.

Kikubwa mkoloni mweusi apigwe chini. Naunga mono hoja hizi ndio siasa za kisasa. 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✌️✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
 
naanza kupata wasiwasi na hizo picha
mbona mood za watu ziko tofauti:what:

mbona slaa kavaa mashati mawili tofauti kwenye hzo picha mbili?:what:

jaribu kuzoom mkono wa kulia wa lowassa

🚶🚶🚶 nitarudi
 
Kama hiyo ni kweli basi nawatakia kifo chema Chadema kwa kumpokea rasmi shushu wa CCM na mwisho wenu naona umefika ila kumbukeni weusi wa kaniki siyo uchafu ndiyo rangi yake hiyo.
 
Nawaona viongozi wangu walivyo wapole ,hawaamini wanachokifanya.

Imeniuma sana, ila sina jinsi. Chadema tulikupenda tukakupigania kwenye jua na mvua usiku na mchana ila ufisadi umekupenda zaidi.

Sasa hivi tuna mafisadi watawala na mafisadi wanaotaka kututawala .Duh..sina namna .

Hii ni aibu ,ni aibu ,ni aibu sana wapinzani wamerudi miaka ishirini mingine nyuma .

Acha ccm iendelee kutawala mpaka upinzani halisi utakapozaliwa
Hii itaiumiza chadema sana.
 
Sasa kama fisadi anakuja chadema mie siasa bye bye tena ni unafiki tu hakuna mwanasiasa mwenye mapenzi na nchi yake wote ni wanafiki tu
 
Back
Top Bottom