Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Hiyo Richmond ina siri kubwa sana siku ukiijua hutaweza kuamini. Ushawahi jiuliza kwanini USA walinunua Dowans?
Swali ni kwamba ni nani anamiliki Mahakama, Serikali na vyombo vyote vya usalama? hayo Unayoyasema wewe ni mpaka upate/upewe nafasi ya kuyasema!
Serikali pmj na vyombo vyake wakishaamua kukufungulia mashtaka hakuna atakaye kusikiliza tena, hakuna gazeti litakalo kutetea, hakuna TV itakayokupa air time kwa maana wote hawa pia wamesajiliwa na serikali!
Unafikiri akina Mramba na Yona hawana ya moyoni? Lkn ni nani anawapa nafasi hata ya kuyasema?
Kama haumini ninayokwambia subiri uone sasa mziki wa Serikali dhidi ya Lowasa na CHADEMA kwanza akitangaza tu walinzi wote aliopewa kama Waziri Mkuu mstaafu wanarudi Serikalini pili mpaka sasa hivi anajulikana kama Waziri Mkuu mstaafu hilo litabadilika na mambo yataanzia hapo...