Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Mwaka huu nikipiga tu kura naondoka Tanzania siku hiyo hiyo
 
Tatizo lowassa ana siri nyingi kuhusu serikali,akiamua kuachia folder ya uchafu wote wa ccm na serikali atakua mwiba sana kipindi cha kampeni

Kali zaidi ni kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa usalama wa Taifa,Upson Mwan'gonda ni kampeni meneja wake na rafiki yake wa damu hivyo anajua mbinu zote za TISSccm za kuiba kura!
 
Chadema/UKAWA waliwasaidia CCM kupata mgombea wao wa uraisi lakini CCM wamekuwa kimya kwa mgombea wa Chadema/UKAWA. UKAWA kuweni makini na maamuzi yenu
 
Tripu hii wakichakachua mlango wa mbele tunaingilia wanyuma. Bora tz iwe kama libya kuliko kuongozwa na party ya chukua chako mapema (ccm)
 
picha hii ni batili. kuna kamanda hapo kwa picha anaonekana, namba yake ninayo, nimempigia, kasema hajawahi kukaa karibu na mzee Ngoyai namna ile tangu azaliwe.

Mods pigeni pini huyu member alieleta huu uzi.

Tulia wewe. Hiyo picha ni halisi kabisa.
 
Makamanda wanapitia mtihani mkubwa na mgumu wa majaribu kw hizo pictures....
 
Aise kumbe Chadema ni bureee kabisaaa.

Yaani Tangu wamfukuze ZITTO kama kuna laana vile.
Hivi mtu mmoja ndio wimbo wa Chadema,yaani woote Lowasa,inamaana wengine ni Zero Pentiums sio.

Hapa ndio watu wanapima uimara wa Chama na uwezo wake.
Leo hii watu mnaishi kwa kusubiria pande la CCM ili chama kiende.Na wale wale waliokuwa wakimshutumu Lowasa leo amekuwa malaika kwao.

Achana kabisa siasa,hahahaha,kazi kweli,kama hujui utaendelea kufanywa mjinga maisha yako yoote na kizazi chako chote
 
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
uko ccm tayari utarudi ccm ipi tena?
 
Back
Top Bottom