Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kuna hatari ya kumsimamisha kuwa mgombea urais kupitia Ukawa, (ingawaje kura yangu hapati) na CCM wakatumia chance hiyo kumfungulia mashitaka ya kuhujumu uchumi wa nchi, kutia taifa hasara (Richmond) Rushwa (mali alizonazo hazilingani na kipata chake) na nk. Ukawa wanatakiwa kuwa macho.. Ukawa watu watu ambao wanaushawishi kuliko Lowassa maana ushawishi wa Lowassa ni pesa hakuna kitu kingine.

Hiyo Richmond ina siri kubwa sana siku ukiijua hutaweza kuamini. Ushawahi jiuliza kwanini USA walinunua Dowans?
 
Ccm malalamiko nn kwa mna hati miliki na urais wa Tanzania
 
Weka popcorn karibu! Richmond itakuwa nje nje! Wenje zigo watajulikana na aliyekubali kubeba lawama atajulikana.
 
Mimi sawa tu as ccm itaondoka madarakani. Angalau system ccm iondoke waje na mpya.

Kwa sasa say No Ccm
 
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA

View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA

View attachment 271483
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
Mhh! Kama ni kweli, Dr. Slaa na Lema itabidi wafanye kazi ya ziada ya kufuta video zote katika Youtube walizokuwa wakimtupia maneno lowasa. Siasa za kiafrika, duh
 
Hapa kwenye wabunge 150 ndio hasa kwenye suala la msingi - tulikuwa tuna imbalance kubwa sana ya power kwenye lile jengo...

kwahiyo hawa 150 wamepita bila kupingwa? hawatapita kwenye mchujo wa kura za maoni? je waliopitishwa katika kura za maoni itakuwaje? na wa viti maalum nao wamepita bila kupinngwa? jamaa anawachezea akili kweli.
 
Kote duniani hayo yametokea vyama nguli viliangushwa wa mpasuko ndani ya chama dola na hii ndio inakwenda kutokea hapa Tanzania.Ndivyo historia inavyo hukumu.
 
Hawa chadema hakuna kitu. Ngoja tusubiri Slaa akimnadi Lowasa ili tuone anatunaje watanzania
 
Mimi binafsi siamini mpaka nione kama Tomaso wa Biblia. Pamoja na tabia ya siasa kutokuwa na adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, kwa Lowasa imezidi. Tunamsafisha kwa kutumia nn kwa watz?

Asafishwe kwa lipi? Wenye kuitaji kusafishwa ni wale waliohukumiwa miaka mitatu jela na yule aliyesema pesa ya escrow si ya umma! Kila mtu anatuhumiwa lakini mahakama ndio inathibitisha makosa. Wakati umefika wa kuujua ukweli.
 
Back
Top Bottom