Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
ndugu yangu we tulia tu,utakapoona watu wanang'olewa madarakani baada ya kukaa miaka 50 pasipo kufanya mambo stahiki basi ujue ni harakati hizihizi unazozichukia leo,nakuhakikishia...wewe ambae leo umekasirika utakuwa mstari wa mbele kupeperusha bendera ya cdm na ukawa kufurahia ushindi...na furaha hiyo utaipata baada ya nafsi yako kukubali kuwa ukombozi haupatikani kwa kusikiliza mioyo yetu.Muhimu kapange foleni uwe na kadi yako ya mpiga kura na oktoba 25 ukapige kura