Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Hapa kwenye wabunge 150 ndio hasa kwenye suala la msingi - tulikuwa tuna imbalance kubwa sana ya power kwenye lile jengo...
 
Sasa ndio tutajua mafisadi wa ukweli na wakupakaziwa!
 
Teh Teh Makamanda mlificha mambo yamefichuka sijui nani kawasaliti kwenye vikao na kuvujisha picha hizi Teh Teh...!

Dr.W.Slaa jitokeze hadharani utwambie kama Lowasa ni fisadi au lah?
 
Last edited by a moderator:
Nawaona viongozi wangu walivyo wapole ,hawaamini wanachokifanya.

Imeniuma sana, ila sina jinsi. Chadema tulikupenda tukakupigania kwenye jua na mvua usiku na mchana ila ufisadi umekupenda zaidi.

Sasa hivi tuna mafisadi watawala na mafisadi wanaotaka kututawala .Duh..sina namna .

Hii ni aibu ,ni aibu ,ni aibu sana wapinzani wamerudi miaka ishirini mingine nyuma .

Acha ccm iendelee kutawala mpaka upinzani halisi utakapozaliwa
 
Jamani unafiki kwetu mwiko na kuonyesha mshikamano na umoja wetu tukiwa wana chadema turudisheni kadi za chadema dakika chache baada ya kumtangaza Lowasa nimesea unafiki kwetu mwiko chadema ni waganga njaa sasa ni dhahiri
 
Chadema/UKAWA waliwasaidia CCM kupata mgombea wao wa uraisi lakini CCM wamekuwa kimya kwa mgombea wa Chadema/UKAWA. UKAWA kuweni makini na maamuzi yenu

Kuna hatari ya kumsimamisha kuwa mgombea urais kupitia Ukawa, (ingawaje kura yangu hapati) na CCM wakatumia chance hiyo kumfungulia mashitaka ya kuhujumu uchumi wa nchi, kutia taifa hasara (Richmond) Rushwa (mali alizonazo hazilingani na kipata chake) na nk. Ukawa wanatakiwa kuwa macho.. Ukawa watu watu ambao wanaushawishi kuliko Lowassa maana ushawishi wa Lowassa ni pesa hakuna kitu kingine.
 
Back
Top Bottom