Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Mkuu andaa kaburi tuizike chademaAmepoteza na Chadema imepotea.rest in peace chadema
Mkuu andaa kaburi tuizike chademaAmepoteza na Chadema imepotea.rest in peace chadema
picha hii ni batili. kuna kamanda hapo kwa picha anaonekana, namba yake ninayo, nimempigia, kasema hajawahi kukaa karibu na mzee Ngoyai namna ile tangu azaliwe.
Mods pigeni pini huyu member alieleta huu uzi.
Mbowe ameudhalilisha sana upinzani.
Mambo yameivaa Bahari Beach Hotel.
View attachment 271473
View attachment 271476
************************** Updates *************************
Teh Teh Makamanda mlificha mambo yamefichuka sijui nani kawasaliti kwenye vikao na kuvujisha picha hizi Teh Teh...!
Dr.W.Slaa jitokeze hadharani utwambie kama Lowasa ni fisadi au lah?
Ok Kamanda lakini Lowasa atatolewa kwenye list of shame?Aisee wewe una kichwa kigumu kama mavi ya kunguni
Halafu lianze kuwala tigo we na wanao? Logic yako imeparaganyika mkuu. Suluhisho la shetani ni jina la Yesu tu naye atakimbia na kuacha siasa kabisa. Jini/shetani halisafishiki, halisameheki na lilishahukumiwa! Mnapoteza muda tu!Kama kuna shetani nyumbani kwangu na linatesa wanangu lakini ili litoke nahitaji jini kumtoa basi lazima nitamwambia jini karibu tumtoe shetani.
CCM ni lazima itoke, kama lazima tutumie jini ndio itatoka basi sawa tuu wacha tutumie kisha jini tutaliombea liwe jini mahaba.