yusufu kiba
Member
- Jul 11, 2015
- 6
- 1
Swaaadkta! !!!
Nilindie mbavu zangu mkuu, si alisema upepo tu, imekua kimbunga
List of Shame ya mwembeyanga tunaifuta vipi?
Sasa kama fisadi anakuja chadema mie siasa bye bye tena ni unafiki tu hakuna mwanasiasa mwenye mapenzi na nchi yake wote ni wanafiki tu
kwahiyo hawa 150 wamepita bila kupingwa? hawatapita kwenye mchujo wa kura za maoni? je waliopitishwa katika kura za maoni itakuwaje? na wa viti maalum nao wamepita bila kupinngwa? jamaa anawachezea akili kweli.
Kuna hatari ya kumsimamisha kuwa mgombea urais kupitia Ukawa, (ingawaje kura yangu hapati) na CCM wakatumia chance hiyo kumfungulia mashitaka ya kuhujumu uchumi wa nchi, kutia taifa hasara (Richmond) Rushwa (mali alizonazo hazilingani na kipata chake) na nk. Ukawa wanatakiwa kuwa macho.. Ukawa watu watu ambao wanaushawishi kuliko Lowassa maana ushawishi wa Lowassa ni pesa hakuna kitu kingine.
Angekuwa mchafu kweli asingethubutu kuhama.. Pili CDM siyo wapumbavu wanajua wanachofanya. Tusubiri watujuze.. Nchi ya ahadi ileeee!!! Hatuwezi kuvunja kufuli wakati funguo:A S-key: umekuja wenyewe. :welcome: Ukawa
Hii ikiwa photoshop ntashangaa sana!Inawekana wameichonga na kuipost kusikulizia comment za wadau
Tuachie CHADEMA yetu we nenda kwa Zitto ACT -CCM na makondokondo yake, huku ulisahau ndara tutakuletea kesho.Chadema kwisha habari yake...Teh Teh..