Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

TUENDELEE,,,,BALAA LA TATU,,miezi ikakata tunaingia msimu wa masika salaleee mvua zikipiga ziwa Tanganyika likawa linarudisha maji kuelekea kwenye makazi ya kijijini...mwenyeji wangu akanambia inabidi tuhame muda wa kufa watu kwa kipindupindu umefika...ndo huku na huku tunajikoki tuhame kipindupindu kikapiga hodi kijijini aiseee watu walikuwa wanazikwa Kila siku ...kumbe huku ikifika masika lazima Kijiji kizima mnapigwa kipapai maana mpaka mm nikapoteza funguo ni kupweka tu...mwenyeji wangu akanipeleka kwa shekhe mmoja nikapigwa kisomo Hali ikawa sawa...watu wa afya wakatinga Kijijini kutoa elimu na kukagua usafi ...wanakuta usafi uko sawa kabisa watu Kama ni vyoo wanavyo...watu wa afya majibu hawana ..ndo bado wanazubaa na wao wakapigwa na kipindupindu...mwenyakiti wa Kijiji akawaambia fanyeni haraka mkaonane na wazee wa Kijiji la sivyo mtafia huku ...wakaenda kuonana na wazee ndo kupona ...nikamuuliza mwenyeji wangu hii ikoje hii...akanambia ziwa lazima litolewe kafara ili samaki na madagaa yaweze kuvuliwa kwa wingi...kwaiyo ukiwa mwepesi unapenda na maji ...ITAENDELEA....
 
TUENDELEE BALAA LA NNE,,hapo kijijini ikola Kuna kituo kidogo Cha polisi..Basi huku na huku akaletwa poti mmoja toka morogoro huko...kufika kileji kakutana na watoto wakitongwe...wakirundi,,kachanganyikiwa yeye haangalii makunyanzi ni mwendo wa kupima oili tu...katembeza ukuni Sana sio Cha MKE wa mtu yeye anaswela tu..huku na huku kapita na MKE wa mzee wa kijijini...mzee kamuita kijana kamuonya,,Sasa kwa kuwa jamaa ni poti akachukulia powa...haikupita raundi...tukaambiwa kuwa poti kaenda mpanda kwa wakubwa zake anataka kuacha Kaz..huku na huku poti karudi kijijini kweli kaacha kazi... mwenyeji wangu akanambia huyo tayari wameshamchawia ...hatujakaa sawa poti namuona ameanza kuzurura ziwan huku kichwani kabeba dishi limejaa vyombo vya kupikia Kama vyote..anaosha vyombo kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana...vyombo vyenyewe hata dakika ishirini huwezi kuzitumia maana ni vichache..akianza kusugua sufuria moja...inaweza chukua saa mzima...watu wakawa wanasema aliambiwa hakusikia hii ndo ikola...INAENDELEA...N.B tuvumiliane naandika kwa kifupi maana visa ni vingi.. na wavivu wa kusoma visa virefu humu ndani ni wengi..
 
Nawezajr kusafirisha samaki kutoka huko kuja Dar?

Je wanapatikana kwa gharama nafuu?

Naomba mwenye uelewa zaidi na hilo eneo anicheki kwa

0744033555 whatsapp
 
Tunaendelea,,BALAA LA TANO,,Hapa kileji pamoja kuwa ni sehemu ndogo lakini Kuna sehemu ama kijiwe Cha starehe kinaitwa SHILAWADU aisee eneo Hilo sio powa .hapo vurugu zote kwanzia ulevi madawa ya kulevya ndo sehemu yake. ..Hilo eneo bangi Haina thamani,,sigara zenu za embasi,,sijui spoti na esiemu zinachukuliwa Kama takataka ..hapa ikola sigara maarufu na ya kijanja unaitwa SHIKATAA ,,aisee sio vijana sio wazee sio wakina mama sio wasichana wote wanakwambia sigara ni SHIKATAA,,sigara hiyo inatokea kongo huko mzigo huo ni zaidi ya mundende na vumbi la kongo unaambiwa ni BALAA..,,Hilo eneo la SHILAWADU ni noma usishangae kukutana na shangazi yako toka mkoani huko Arusha ,,songea,ama mwanza anajiuza ,,hapo warembo kutoka mikoa yote utawapata na gesti zote Kijiji kizima wamezikodi wao ..Kuna jamaa alikutana na mama yake mdogo kumbe anajiuza huku kwa wavuvi wakati nyumbani huko singida ameaga amekuja kufunga mzigo wa samaki,,hapo SHILAWADU ndani ya ikola pamoja na watu kupiga vinywaji vikali na vya gharama lakini pombe maarufu unaitwa TEVERE. ,,kunywa madude yako yooote Ila Kama hujanywa tevele watu wanakuona unaigiza ....ITAENDELEA.....
Mkuu nipe connection nipate hizo sigara.

Nimegoogle zipo kama msokoto wa bangi, je ni tumbaku au bangi.
 
Nawezajr kusafirisha samaki kutoka huko kuja Dar?

Je wanapatikana kwa gharama nafuu?

Naomba mwenye uelewa zaidi na hilo eneo anicheki kwa

0744033555 whatsapp
Nazan mdau muanzisha mada anaweza kukupatia ufumbuzi mchache kama bado yupo huko ..
Kwamimi niliyoyaona kipindi hicho wanunuzi toka mpanda walikua wanakuja na madeli makubwa yale kama ya wauza maji au soda yanakuja yakiwa nabarafu ndani kwa ajili yakusafirishia samaki sasa cjui kama kwa usafirishaji ule unaweza kufikisha samaki wabichi hadi dar inshort swala lakutoa samaki kule kuleta Dar kunahitaji uwe vzr kdg cjajua kwa upande wako chief mana nimeshaona kama marambili ivi au tatu kuna jamaa walikua wanakuja na gari zile zenye tela lajokofu haikuwa kubwa sana ikikua yawastani tu..samaki walikua wanahesabu samaki 8 elf mbili kuna muda wanafika hadi 10 elf mbili nakuna kipindi wanakua adimu unakuta wanahesabu samaki 6 au wa5 elf mbili japo nazani kwasasa mambo yatakuawa yamebadilika sana samaki ninaozungumzia hapa ni migebuka
 
Sasa wakati wamefika mbele akaibuka yule mwamba aliyefariki, akazima injini, yule baba akashtuka, mara mtumbwi ukapigwa ukageuka. Hao wakawa wa kwanza kwenye ile listi.
naota nadanganywa:
1. Watu wanaoishi mwambao wa ziwa wengi wao wanajua kuogelea, chombo kubinuka si waranti ya kifo;
2. Injini kuzimika si lazima chombo kibinuke; na
3. Si rahisi kwa kayta nzima kuingia katika chombo ati kufanya matembezi, hizo ni shughuli za vijana wadogo.


TUENDELEE
 
Sidhani kama itakulipa, labda kipindi hiki ambacho tunapambana na corona kwa kkuwa wacongo hawaji. maara nyingi wanunuzi kwa ajili ya soko la congo hujipangia bei
Nawezajr kusafirisha samaki kutoka huko kuja Dar?

Je wanapatikana kwa gharama nafuu?

Naomba mwenye uelewa zaidi na hilo eneo anicheki kwa

0744033555 whatsapp
 
Back
Top Bottom