Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,513
- 151,782
Sitaki kuachana nazo, nataka ujibu.Hizi elimu achana nazo za ufahamu wa juu.
Hujajibu hoja ya msingi. Unajuaje huu ni uchawi na hili ni ambukizi la bacteria ambalo hujalijua tu?

Mambo yote uanzia rohoniSitaki kuachana nazo, nataka ujibu.