Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

naota nadanganywa:
1. Watu wanaoishi mwambao wa ziwa wengi wao wanajua kuogelea, chombo kubinuka si waranti ya kifo;
2. Injini kuzimika si lazima chombo kibinuke; na
3. Si rahisi kwa kayta nzima kuingia katika chombo ati kufanya matembezi, hizo ni shughuli za vijana wadogo.

TUENDELEE
Na huduma za afya zipo, Kuna zahanati.
 
Kwani wewe huamini Kwamba uchawi upo?
Sio kwamba siamini tu.

Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Uchawi ni nini?

Mababu zetu walioishi miaka 200 iliyopita, wangeona TV, ndege, internet wangeita uchawi. Ila ni teknolojia tu ambazo hawakuzijua.

Unajuaje unachofikiri ni uchawi leo, ni uchawi kweli na si kitu kingine tu usichokijua?
 
naota nadanganywa:
1. Watu wanaoishi mwambao wa ziwa wengi wao wanajua kuogelea, chombo kubinuka si waranti ya kifo;
2. Injini kuzimika si lazima chombo kibinuke; na
3. Si rahisi kwa kayta nzima kuingia katika chombo ati kufanya matembezi, hizo ni shughuli za vijana wadogo.

TUENDELEE
[/QUOTE mleta uzi hajarudi 😂😂😂😂
 
Sio kwamba siamini tu.

Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Uchawi ni nini?

Mababu zetu walioishi miaka 200 iliyopita, wangeona TV, ndege, internet wangeita uchawi. Ila ni teknolojia tu ambazo hawakuzijua.

Unajuaje unachofikiri ni uchawi leo, ni uchawi kweli na si kitu kingine tu usichokijua?
Nikikuletea mganga akakugeuza kuwa kuku ..bado hutoamini tu??
 
Sio kwamba siamini tu.

Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Uchawi ni nini?

Mababu zetu walioishi miaka 200 iliyopita, wangeona TV, ndege, internet wangeita uchawi. Ila ni teknolojia tu ambazo hawakuzijua.

Unajuaje unachofikiri ni uchawi leo, ni uchawi kweli na si kitu kingine tu usichokijua?
Uchawi upo mkuu,Shida wewe unataka uthibitisho wa kisayansi kitu ambacho wachawi wenyewe bado hawawezi kukielezea,Ndo mana zinaitwa nguvu za giza,usipoamini kuna uchawi basi hata uwepo wa MUNGU Na shetani hauuamini
 
Nimeuliza swali ambalo hujalijibu.

Nimesema mababu zetu walioishi miaka 200 iliyopita, wakiona leo tunatumia TV kuona watu wa mbali, tunatunza sauti kwenye computer, tunawasiliana pande tofauti za dunia kwa internet, wataita uchawi.

Unajuaje unachokiita wewe uchawi si kitu tofauti tu ambacho hukijui vizuri?

Hujajibu.

Kwa kweli, nimeuliza uchawi ni nini, hata hilo swali nalo hujalijibu.
 
Sio kwamba siamini tu.

Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Uchawi ni nini?

Mababu zetu walioishi miaka 200 iliyopita, wangeona TV, ndege, internet wangeita uchawi. Ila ni teknolojia tu ambazo hawakuzijua.

Unajuaje unachofikiri ni uchawi leo, ni uchawi kweli na si kitu kingine tu usichokijua?
Kuna Uzi nilianzisha uku nilijaribu kuuelezea kwamba hakuna miujiza Bali ni akili haiwez kutambua
 
Kwa mtu ambaye haelewi mchezo wa karata tatu, mchezo wa karata tatu anaweza kuuita ni muujiza au uchawi.

Kumbe ni kuchezea karata tu!
 
Uchawi ni negative energy uwanasa watu wenye mitetemo ya chini ukiwa na gross energy unakuwa umeupiga lock mwili wako, uchawi, magonjwa, matatizo hayakusogelei uchawi upenda mtu,ukiwa mchafu kiroho, mwili na nafsi unakuwa umefungua mlango kwa mambo yote machafu ikiwemo kulogwa, umasikini, magonjwa, matatizo mlango mkuu ni ngono, dhuluma, hasira, lawama, ushirikina nk
 
Hapo karema napaelewa vizuri mno na pia nilikuwa naenda sana kipindi hicho nipo manda kerenge,karema ndio jimbo la kwanza la kanisa katoliki lilipoanza na ndio chimbuko la askofu maarufu sana aitwae Msakila.Na ni kweli kulikuwa na wachawi sana.
 
Uchawi ni negative energy uwanasa watu wenye mitetemo ya chini ukiwa na gross energy unakuwa umeupiga lock mwili wako, uchawi, magonjwa, matatizo hayakusogelei uchawi upenda mtu,ukiwa mchafu kiroho, mwili na nafsi unakuwa umefungua mlango kwa mambo yote machafu ikiwemo kulogwa, umasikini, magonjwa, matatizo mlango mkuu ni ngono, dhuluma, hasira, lawama, ushirikina nk
Hujajibu hoja ya msingi. Unajuaje huu ni uchawi na hili ni ambukizi la bacteria ambalo hujalijua tu?
 
Back
Top Bottom