Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

[emoji3][emoji3][emoji3]..nimekaa hiko kijiji mwaka jana mwezi wa 8 hd wa 9...

Kwanza siku niliyofika tu sikujua kama ndo nimefka..niliambiwa tu broo ndo tumefika ikola(nikachoka kbsa)

Pili,umeme ulikuwa ushafika ila bdo ulikuwa haujawashwa..duka pekee la vinywaji brd kwa kutumia solar lipo kwa jamaa mmoja anaitwa DIWANI..

Tatu,nilienda ziwani siku moja mida kama ya sa 3 hv asubuh...nikakuta wamama,wadada waliobalehe kbsa wanaogelea wakiwa wamevaa khanga tu na pembeni kuna wanaume wanaendelea na shughuli zao za kuandaa boti kwa ajili ya kuvua jion yake na wala hawana habari..

Nne,Kulikuwa na kombe la N'gombe ambalo lilijumuisha timu kutoka vijiji vyote vya jiran..uwanja unazungushiwa mifuko ya sandarusi then kiingilio 500..na watu wanajaa hatar

Tano,alikuja BROTHER K COMEDIAN..aisee uwanja ulijaa balaa mpk ikabd walinzi washindwe ku handle lile nyomi..na kiingilio kilikuwa 2000 tu..hapo ndo nilipojua kuwa wasanii wanapiga hela sana vijijini...huku mjini tunaona wa kawaida tu

Sita,Kwa mara ya kwanza nilionja supu ya dagaa...mjini kuna supu ya mbuzi,n'gombe na samaki..kule wana supu ya dagaa..ni tamu hatari

Saba,Kuna siku nilienda kijiji cha mbele kidogo ya ikola..aisee kile kijiji kjna sehemu ina muonekano mzuri ajabuu wa ziwa..nikamuuliza mwenyekiti kma naweza kupata kipande cha ardhi..nikaonywesha kipande kina zaidi ya nusu heka kwa laki 1 tu

Nane...Nilienda kutembelea bandari mpya ya KAREMA inapojengwa...aiseee..hii nchi ina miradi mikubwa sana

Tisa,Aisee kuna ndoa za ajabu sana niliziona..yani kule mzee wa miaka 45/50 kuoa mtoto mdogo wa miaka 15 and above ni jambo la kawaida sana..cha msingi awe na uwezo tu wa kuwahonga wazaz wa binti..na mabinti wengi wanazalishwa then mambo yakibadilika wanaume wanawakimbia wanabaki wanahaha tu mtaani..
Kuna siku nilimsaidia mmoja hela ya kula nashangaa kesho yake anakuja na wenzake wawili eti nao niwasaidie...na wote wana watoto!!
 
Mwaka 2012 tulikua na kampuni hapo ikola ila juu kule mbugani, tulikua tuna chimba copper na dhahabu ila ikifika j2 tunaenda ikola ziwani na kalema kuogelea, ila tulikua tunaenda kalema kutafuta dhahabu sababu tuliambiwa kuna dhahabu sana mwambao wote ule karibu na kanisa na wananchi hawaruhusuwi kuchimba shimo refu, tulidadisi sana lile eneo mpaka tukapigwa marufuku kufika kalema kanisani, nawakumbuka rafiki zangu wa kaparamsenga, enzi zile basi la kutoka mpanda mjini lilikua moja tu kalavashoki
 
TUENDELEE

Kwanza niwatake radhi ndugu zangu, naandika kwenye notipad halafu ndo nahamishia hapa, sasa simu ilijizima kabla sijasevu, ninatumia kitecno kinasumbua kweli.

BALAA LA PILI

Baada ya jamaa kukata moto, ndugu walikaa kikao wakatoka na azimio moja, kwamba kwa yeyote atakayekuwa amehusika na hicho kifo basi hatabaki salama, yeye na ndugu zake hadi mifungo yote wanayomiliki na panya walioko kwenye nyumba zao.
Wakamzika ndugu yao maisha yakawa yanaendelea.

Sasa yule jamaa aliyesema ameenda kwa waganga 20 alikuwa na mke na mtoto mmoja, siku moja wakatoka ili waende kuzunguka mjini, akapita kule kwenye boti yake ili aangalie kama wametia nanga kiusahihi. Mara mtoto akamwambia baba yake kwamba anataka kupanda boti, baba akamwita na mke wake wakaingia ili wazunguke kidogo ziwani. Sasa wakati wamefika mbele akaibuka yule mwamba aliyefariki, akazima injini, yule baba akashtuka, mara mtumbwi ukapigwa ukageuka. Hao wakawa wa kwanza kwenye ile listi.

ITAENDELEA
Kwahiyo pununkila = don clericuzio
 
[emoji3][emoji3][emoji3]..nimekaa hiko kijiji mwaka jana mwezi wa 8 hd wa 9...

Kwanza siku niliyofika tu sikujua kama ndo nimefka..niliambiwa tu broo ndo tumefika ikola(nikachoka kbsa)

Pili,umeme ulikuwa ushafika ila bdo ulikuwa haujawashwa..duka pekee la vinywaji brd kwa kutumia solar lipo kwa jamaa mmoja anaitwa DIWANI..

Tatu,nilienda ziwani siku moja mida kama ya sa 3 hv asubuh...nikakuta wamama,wadada waliobalehe kbsa wanaogelea wakiwa wamevaa khanga tu na pembeni kuna wanaume wanaendelea na shughuli zao za kuandaa boti kwa ajili ya kuvua jion yake na wala hawana habari..

Nne,Kulikuwa na kombe la N'gombe ambalo lilijumuisha timu kutoka vijiji vyote vya jiran..uwanja unazungushiwa mifuko ya sandarusi then kiingilio 500..na watu wanajaa hatar

Tano,alikuja BROTHER K COMEDIAN..aisee uwanja ulijaa balaa mpk ikabd walinzi washindwe ku handle lile nyomi..na kiingilio kilikuwa 2000 tu..hapo ndo nilipojua kuwa wasanii wanapiga hela sana vijijini...huku mjini tunaona wa kawaida tu

Sita,Kwa mara ya kwanza nilionja supu ya dagaa...mjini kuna supu ya mbuzi,n'gombe na samaki..kule wana supu ya dagaa..ni tamu hatari

Saba,Kuna siku nilienda kijiji cha mbele kidogo ya ikola..aisee kile kijiji kjna sehemu ina muonekano mzuri ajabuu wa ziwa..nikamuuliza mwenyekiti kma naweza kupata kipande cha ardhi..nikaonywesha kipande kina zaidi ya nusu heka kwa laki 1 tu

Nane...Nilienda kutembelea bandari mpya ya KAREMA inapojengwa...aiseee..hii nchi ina miradi mikubwa sana

Tisa,Aisee kuna ndoa za ajabu sana niliziona..yani kule mzee wa miaka 45/50 kuoa mtoto mdogo wa miaka 15 and above ni jambo la kawaida sana..cha msingi awe na uwezo tu wa kuwahonga wazaz wa binti..na mabinti wengi wanazalishwa then mambo yakibadilika wanaume wanawakimbia wanabaki wanahaha tu mtaani..
Kuna siku nilimsaidia mmoja hela ya kula nashangaa kesho yake anakuja na wenzake wawili eti nao niwasaidie...na wote wana watoto!!
Ungewaambia wakawapeleke watoto waje wenyewe kisha ungewapiga sound ukawavhapa nao wote wawili alafu ukazama chumvin wangeanza kukopa wakuletee ww pesa
 
Kijiji kama hicho bora "uitulize" Tu mkuu ....napata woga aloo inaweza isitoke .
 
Back
Top Bottom