The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 2,344
- 3,406
- Thread starter
- #121
sihitaji kulima mkuu, kama mtu atalima ni yeye ila sio mimi, yeyote atae enda hapo eneo atawaza kitu sahihi kufanya binafsi nataka tu awepo mtu.Nipigie Mkuu. 0621275256. Kwa ajili ya ku-ultilize hilo eneo. Taaluma ya kilimo ninayo, ka-mtaji ninako, ujuzi wa ujasiriamali ninao.
Ukipata kijana ama ukiwa umekosa, nipigie tukawekeze hapo.![]()
