Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,654
- 11,711
Tanzania bwana...bado tuko kwenye majaribio?
Ndio mzee. Hatujamaliza majaribio bado!
Tanzania bwana...bado tuko kwenye majaribio?
Nitampa kura yangu kama Dr Slaa hatagombea.
Watu wengine hawapendi kuishi maisha mengi, we ngoja utasikia amekufa kwa ajali au amejipiga risasi
Nitampa kura yangu yeyote lakini sio Bernard Membe Joka la Mdimu
wats wrong with membe?
Huyu ni mswahili akiwa rais mambo yatakuwa yale yale kama jk
Ndio mzee. Hatujamaliza majaribio bado!
JK kadhalilisha sana taasisi ya uraisi! Hadi huyu anataka?
Nilikuwa hapa UDSM kwenye magazeti, maprofesa wakawa wanamponda January kwa kusema kwamba huwezi kugombea urais kwa kubebwa na viongozi wachache wa TAHLISO! Wanasema jamaa aliwanunulia viongozi wa TAHLISO simu kibao za mkononi!