JK kadhalilisha sana taasisi ya uraisi! Hadi huyu anataka?
January angevuta subira kidogo, huenda akawa yeye baada ya Lowassa kumaliza kipindi chake!
Nitampa kura yangu kama Dr Slaa hatagombea.
Kila mtu ana uhuru wa kusema kile anachojisikia!!kwani urais ni special kwa watu flani tu?go go go january
Huyu ni mswahili akiwa rais mambo yatakuwa yale yale kama jk
Aisee, umeona uwe mkweli tu na liwalo na liwe!! Watakuvaa jamaa tena wakiwa na hasira ya njaaaa, shauri yako.Sio mswahili usizunguke sema ni muisalmu
Kumpigia kura huyo padri bora uumpe kura Josephine
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
nayeye asipogombea utanipa mimi?Nitampa kura yangu kama Dr Slaa hatagombea.
nayeye asipogombea utanipa mimi?
Kijana anajitekenya sana.
Nasubiri kauli ya Nape.