Kijana leo umeyateka Magazeti yote huko.

Kijana leo umeyateka Magazeti yote huko.

Bora tupate rais kutoka Team B sasa
 
Pinda, hahahahhahahhahaaaaaa! Nimecheka sana kwa kweli
 
Duh! Mmeshatuona watanzania ni mabwege kiasi hiki!!?? Yaani una fail form six una frock unakuwa mbunge unapewa uwaziri na mwisho unataka kuwa rais!! Mi nitahamia canada
 
Fanya kweli Makamba Jr. Nitakutafutia kura 50 za uhakika. Tunataka damu inayochemka,tunataka mabadiliko. Uhuru wa nchi hii uliletwa na vijana wa wakati ule,msitubeze. Go go January go..Makamba Jr for president 2015.
 
Hapa kitakachokuwa kimebadilika ni nini?, Angalia wizara anayoiongoza ilivyooza, mitandao ya simu inaibia wateja na serikali kwa pamoja yeye anakamata mgao anasepa, nahisi wewe ni January mwenyeww unapiga debe humu JF
 
Ifikie wakati basi warudishe "Uchifu".....maana baba alikuwa kwenye system basi na motto nae aonje....dah ndo maana naitamani TANGANYIKA yangu....

Ndo tunapoelekea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom