Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Nampa pole sana kijana huyo najua hakipendi chama bali njaa ndiyo iliyomsababishia kuwabandikia matangazo, haya yote wa kulaumiwa ni Rostam, na kama anampigia kampeni mgombea wa SISIEMU basi akishinda ajiandae kutumiwa na Rostam kusolidify gamba lake na kuwa SEDIMENTARY ROCK
 
wana jf nimeamua kuweka jamvini hili ili tulione kwa pamoja,ikumbukwe uchaguzi mkuu ulioisha dr.slaa alikuwa tishio kubwa kwa ccm wakaamua kusaka mbinu za kumchafua ndipo walipoenda wakamuonga yule aliyekuwa mme wa josephine(mke wa slaa kwa sasa)ili akafungue kesi dhidi ya slaa kuwa kamporaa mke ili hali walikuwa wamekwisha kuachana siku nyingi ili tu slaa aonekane hafai,baada ya watanzania kulipuuzia hilo ndipo tena ccm wakasuka mpango wa kummaliza kabisa huyo jamaa ili ionekane slaa kammaliza kwa kuwa kamshitaki wakamsukia ajali akagongwa akiwa katika gari yake mungu mkubwa akapona.sasa hii issue ya mtu aliyekuwa anaandaa mkutano wa ccm akamwagiwa tindikali ni ghiliba zilezile ili cdm ionekane ndo imefanya hivyo eti sasa wamemkodia ndege kumpeleka muhimbili.inatakiwa akili ya ziada kuyapambanua haya
 
Pole sana kwa aliyemwagiwa Tindikali ila najua siku za Mwizi huwa ni Arobaini na mtenda hutendwa. Hivyo siku zao zinahesabika.Wananchi wa Igunga kama hawatapambanua haya wameliwa. Wajiulize ni watu wangapi wanaugua hapo Igunga na hawapati huduma ya Kukodiwa ndege na Serikali?

Ni shule ngapi zinahitaji vifaa hapo Igunga? Je zimesaidia kwa namna gani? Kuna Picha imewekwa kwa blog ya Mjengwa Wanachi wanachota maji machafu kabisa kwa ajili ya kunywa na Kupikia kama kweli wanasaidia Wananchi si wawajengee hivyo Visima vya maji?

Huu mtaji wanaoutumia kuna siku utawageuka kwa Kiwango kikubwa sana.

Mungu awasamehe lakini nina uhakika uuaji na utesaji wa jinsi hii hauvumiliki kabisa. Ipo siku ukweli utajulikana na uongo utajitenga hapo ndipo itakuwa Kilio na kusaga meno.
 
Whoever who votes for Chadema, in any election level, should have his head medically checked for congenital defects.
 
Ndo siasa uchwara hizi alizozisema Rostam , ipo siku watauana
wenyewe kwa wenyewe ili mradi waisingizie CDM mauaji ?
 
hizi siasa ni mbaya sana kuna prof wangu alituambia class siku moja kama familia yenu haina uhusiano wowote na siasa achana nayo kabisa maana ni mchezo mchafu sana kuuana, kukashifiana, hata wakati mwingine kama hivyo mnavyoona ni mbinu za kisiasa wala hapo hakuna cha CDM ni hao hao ccm tunawajua sana wameua wangapi? kolimba, sokoine, etc wako wapi?
 
kama waliweza kwa sokoine, kolimba, salome Mbati na kumkosakosa mwakyembe.....watashindwa kwa huyu dogo
 
Mimi bado nakumbuka yale mapanga tuliyoelezwa na bwana Mahita kwamba yameletwa na CUF. Ghiriba za namna hii kwa kweli ni hatari sana.
 
Mfa maji haachi kutapatatapa .tunamshukuru mungu watanzania tumeshagundua mbinu zao chafu wanazotumia ccm.siku zao zinahesabika kama za Gadafi .wenzetu wamekufa Zanzibar wao wanashindwa kushusha hata bendera yao ni hatari kubwa sana kuendelea kutawaliwa na ccm
 
Masikini kijana wa watu angejua kuwa anaowatumikia ni wachawi ambao watamtoa kafara asingekubali kuamka usiku ule kwenda kufanya kazi ile akiamini kuwa anakitumikia chama kumbe anatolewa kafara, ila kwa dhambi hii CCM itawatafuna sana damu za watu walizomwaga ni nyingi mno kwa tamaa yao ya kutaka kubaki madarakani.

ILAANIWE CCM MILELE NA MILELE.
 
Hao wanafiki, watanzania wangapi wagonjwa mahututi hawakodiwi ndege kwenda muhimbili tena hata magari ya wagonjwa tu hamna. Sisi na dr slaa hata wafanye nini hatuwezi kulazimishwa kuipenda ccm tena.

Hebu angalieni maneno ya nape haya kwenye wall yake ya facebook!

.....Maneno ya Dr.feki aliyesoma Italy na kujifunza vizuri juu ya Redbriged ukiyasikia na kumwangalia muathirika, utashangaa kama anayesema ni binadamu....!!!!


Hivi ccm wanadhani hii tanzania ni ya kwao peke yao? hawajuwi kwamba tulikuwa tumewapangisha tu na sasa wanatakiwa kuondoka. Hata wakifanya nini tumewachoka kwa wizi wao
 
Kumbukeni Rwanda vyombo vya habari vilivyo sababishwa mauaji. Mnachokifanya kwenye post hii ni kuongeza hasira kwa wale wanaoujua ukweli na wanaojua nini kilitokea CDM hamuwezi kulikwepa hili. Kama kweli hamihusiki kwa nini mliwatorosha wale vijana juzi usiku. Mnafahamika na mtapatikana soon!
 
Kamwe CCM haitaondoka madarakani kwa kutumwagia tindikali na kutupiga! Vijana wa CCM msirudi nyuma endeleeni na mapambano jueni kuwa nyuma yenu tupo wengi msikatishwe tamaa na hizo tindikali zao wameshindwa vita kabla ya mapambano!
 
Hiyo ni kawaida ya ccm inataka kuwaaminisha watu kuwa cdm ni chama cha majambazi kwa taarifa yao wtz hatudanganyiki tena, wamemwagia tindikali wenyewe na kupakazia watu. Sasa kwann wasiwakamate hao vijana alafu ukiisoma taarifa yenyewe inajachanganya sana, eti alikuwa anabandika picha mara alikuwa anaandaa sehemu ya mkutano saa5 usiku, huu ni uzushi wa ccm wanaona mambo yamewafika shingoni wanatapatapa tu
 
Kamwe CCM haitaondoka madarakani kwa kutumwagia tindikali na kutupiga! Vijana wa CCM msirudi nyuma endeleeni na mapambano jueni kuwa nyuma yenu tupo wengi msikatishwe tamaa na hizo tindikali zao wameshindwa vita kabla ya mapambano!
<br />
<br />
unaweza kuta huyu jamaa kachookaaa flana ya magamba imechookaaa imepaukaaaa afu kanajidai chichiem.....idiot
 
Back
Top Bottom