Chadema hawana sera..hata kutongoza hawajui! Ndio maana waishia kuoa wake za watu na wanawake walioachika!
Pia wengi asilimia kubwa wako 30+ lakin bado hawajaoa
Mabwege bwana! Kwa sababu ni habari za CDM basi mtoa taarifa ni mgonjwa wa akili? Utoto mtupu!Hivi huwa "unajisikiaje" unapotoa habari za uongo namna hii?Ebu jaribu kuzirejea akili zako then soma ulicho post!
Kimachofurahisha ni kwamba kilichotabiliwa kimefikiwa kwamba utakuja wakati CCM itawaogopa wapinzani haswa Chadema ,CCM iko kwenye defensive side ,maji ya shingo ha ha ha ha I love my fellow Tanzanians imefikia sasa wamesema bye bye CCM hawadanganyiki,lete propaganda za kila aina lakini Ukweli utabaki ukweli CCM hawana nyimbo tena hata hapa jamvini waleta propaganda munashusha hadhi ya chama chenu CCM ni chama Mfu kimebaki mifupa kama Sitta alivtosemahabari ni habari hata kama hukubaliani nayo.....! NGUMI MKONONI KWA YEYOTE ANAYEKATAA, LAZIMA MJUE ASILI YA CHAMA CHETU NI WAPI ARAAA
Umeleta hoja kwa ushabiki hukuwa neutural imepoteza hata hadhi yake hebu soma maelezo ya mtuhumiwa... ..saa saba usiku anabandua picha za wengine akome.Alkiyekwambia kwamba alikuwa anaweka mabango usiku nani? Tukio lile lilitokea saa 12 jioni, masuala ya polisi na hospitali ndiyo yaliyochukua muda. Usikurupuke tu mkuu, hili ni suala la kweli na linapaswa kukemewa kwa nguvu zote katika jamii yetu. Ifike mahali tofauti zetu za kiitikadi zisivuruge mahusiano ya kawaida ya kila siku. Ipendeze kuona CDM, CUF na hata ccm WADAU WAKE WANAWEZA KUKAA MEZA MOJA NA KULA NA KUNYWA BAADA YA MALUMBANO YA KISIASA NA SI VITA NA KUHARIBIA MTU MAISHA. Huyu kijana amepelekwa DAR jana kwa matibabu baada ya hali kuendelea kuwa mbaya sana.
Wafuasi wa CDM kwa kufanya vurugu mnawaharibia mipango mizuri DR. SLaa na wenzake maana sasa wananchi wamechukizwa sana na kitendo hiki,, ni wazi kwamba CCM watashinda kutokana na vitendo vya jinsi hii.
Akizungumza kwa shida hospitalini hapo kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa matibabu zaidi, Tesha alisema tukio hilo lilitokea saa saba usiku baada ya kuvamiwa na vijana watatu ambao walimteka na kumfunga kitambaa usoni.
"Ilikuwa usiku wa saa saba, nilivamiwa na vijana kama watatu wakanifunga kitambaa usoni na walinipeleka mbali na kunimwagia tindikali, kabla ya kutoweka."

jana kuliripotiwa katika vyombo vya habari na hata huku jf kuwa chaema wamemwagia kijana wa ccm titindikali hapa igunga,leo katika hali ya kuhuzunisha kijana mwengine tena wa kike amepigwa na mawe baada ya kumkataa mmoja wa vijana wa chadema katika kijiji cha itumba,tarafa ya igunga wilayani hapa,

kwa maelezo ya binti huyu maria solomon,jana alifuatwa na afisa huyu akaombwa penzi,akakubali lakini baada ya jamaa ruzuku yake kuwa ndogo binti akaamua kuchomoa,lakini akawa tayari kishalamba soda mbili aina ya fanta ya kada wa cdm,mshakaji akalalishwa mlango wazi na binti astokee,sasa leo katika pitapita si kamuona?? mawe yakaanza!

Chadema hawana sera..hata kutongoza hawajui! Ndio maana waishia kuoa wake za watu na wanawake walioachika!

Pia wengi asilimia kubwa wako 30+ lakin bado hawajaoa

CDM mtatumaliza jamani kwa ukatili wenu, fujo zenu pelekeni huko huko kwenu Arusha na Kilimanjaro

CDM mtatumaliza jamani kwa ukatili wenu, fujo zenu pelekeni huko huko kwenu Arusha na Kilimanjaro
Muwe mnapanga uongo wenu vizuri mueleweke wewe unasema ulikuwa unamsubiri na gari abandue picha wakati mwana green guard mwenzako anasema alikutana na majeruhi amebebwa wakitembea.By tumaini letu![]()
nasikitika sana watu wanaoleta siasa wakati jamaa kaumia sana,wakat anamwagiwa mm nilikuwepo kwenye gar tukimsubiria abandike zeni tusogee mbele mara wakatokea watu wakisema pipozzz ngoja tukuonyeshe nguvu ya umma wakamwagia tukafikir ni maj mara jamaa analia sana na kumchek mtu kaungua uso na kupofoka macho,nasema wakiletwa mbele yangu wale vjana waliokuwa wakisema pipoz nawakumbuka mpaka sasa.najiuliza ccm na cdm nani anatindikali nyingi? mnatupeleka wap?haya
Mh. membe ku shout ni CDM hakutoshi pelekeni ushahidi haya ni matokeo ya green guard kutoka kambini Singida mlitegemea nini na nivyoona hii kesi mtaificha maana imewakalia vibaya nasikia aliyekamatwa alitumwa na kiongozi wake wa CCM sidhani kama atakubali kufa peke yake ni muda tu ukifika atamtaja aliyemtuma.Below average thinking. Aliyemwagiwa tindikali wala hata siyo mgombea na pengine hana udugu na mgombea wa CCM. Sasa watu watato sympathy votes kwenda CCM kwa namna gani? Hili tukio ni la kinyama na kwa vyovyote vile ushahidi wa kimazingira unaonyesha hii ni kazi ya CDM. Nina hakika angefanyiwa mfuasi wa CDM basi kinara wa vurugu Lema sasa angekuwa anongoza genge la wahuni wenzie kufanya vurugu na maandamano. Hivi ni lazima mtu ushinde ubunge baada ya kutekteza maisha ya mwenzio? Hili ni tukio moja tu la uchaguzi na litapita lakini maisha ya mtu yaliyoharibiwa yatamgharimu maisha. Halafu bila hata kumuogopa Mungu mtu unaanza kupepesa lugha ya kudai ushahidi. Shameless ******!
CCM acheni kulialia CDM haina dola hapo zamani wapinzani ndio walikuwa wanalialia sasa ni zamu yenu.CDM mtatumaliza jamani kwa ukatili wenu, fujo zenu pelekeni huko huko kwenu Arusha na Kilimanjaro
Mimi sio mwana CCM, naona wewe upo hapa kutetea unyama uliofanywa na vijana wahuni wa CDM, nadhani hiki kitengo walichofanya vijana wa CDM hata wenye chama Mbowe, a loser Dr Slaa, wamesikitika sana mpaka sasa wameshindwa kukanusha huu unyama waliofanya vijana wao.CCM acheni kulialia CDM haina dola hapo zamani wapinzani ndio walikuwa wanalialia sasa ni zamu yenu.