Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
Mimi nakumbuka alishindwa jua Tanganyika iliungana na nchi gani kuunda Jamhuri ya Muungano.

Naibu Waziri wa Elimu hajui Tanganyika imeungana na nchi gani ilikua ni ajabu na kweli surprisingly hakutolewa ofisini kwa kuonyesha hii incompetence.
 
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Kiingereza ni lugha kama ilivyo lugha yako ya nyumbani (Mother tongue. Kujua Kiingereza hakumaanishi intelligence au IQ kubwa.

Kutokujua misamiati ya kutosha ya lygha unayotaka kuwasilishia jambo kunaweza kukufanya ukaonekana hujui jambo.

Makonda kutumia Lugha anayoweza kuwasilisha jambo kiufasaha na kwa kadri ya anavyolifahamu jambo hilo ni kwa nia njema.
 
Unachanganya mada sasa sema mi nshakuelewa unamlenga Nani

Mimi simlengi mtu hizo ni hallucinations zako!! Huyu mlevi ni Naibu Waziri anayeshuhurika na Usafiri na hiyo ni docket muhimu sana inayotakiwa kuongozwa na Naibu Waziri serious!!
 
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Sina hakika kama anakijua hicho kiingereza. Mweupe hasa hana kitu pale zaidi ya ujanja ujanja na kubebwa.
 
Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
Huyo Mulugo enzi hizo ilikuwa ni shida anatoa hotuba anasema Tanzania ni muungano wa nchi ya Zanzibar na Zimbabwe.
Mpaka unawaza huyu ni Naibu waziri kweli, au kachukuliwa tu mlevi kwenda kwenye mkutano.
 
Kuandika...!!? Hivi ulishawahi kuona mwandiko wake aliotumia kalamu na mkono wake...!? Ukitaka kujua kama anajua kuandika na mwandiko wake upo vipi, basi kama unatumia mkono wa kulia kuandika, basi funga macho halafu utumie mkono wa kushoto uandike "Nawasilimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" kisha fumbua macho, utakachokiona ndio mwandiko wake!
Mbona wana sayansi hawaandiki vizuri. Profesa wengi hapo mlimani
 
😂😂😂😂😂

Alafu kuna watu wanadhubutu kusema hata kama mzazi una pesa hakuna haja ya kumpeleka mtoto wako englsh medium🤣🤣🤣
Huyu mshua ivi kasema tz inapakana na nchi nane alafu kataja na indian ocean humo humo🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom