Kiingereza cha Mlimani City


Aliokwambia hao marais hawajui kiingereza nani?! Kutokuongea in public haina maana hawajui. Halafu achenu unafiki,wengi wenu mnamcheka hadi mkuu wa nchi kisa haongei kiingereza kama mnavyotaka nyinyi. Acheni waongee kama broken ni yao na ndio wanajifunza.

Mkienda mlimani city fanyeni yenu waacheni hao wanaoongea broken yao wafanye wapendacho ili mradi hawavunji sheria!
 

Haa haa umenichekesha kweli..for the first time nilimsikia wema in my shoes anamwambia yule mbwa wake (cjui vanny whatever!) ...eti like seriously vanny,am fed up step down like seriously yaan...
 
Utasikia Am....zile za O.M.G,TBT,I was like....coz...what da hell is this......hahaha sijui kwanini tunakidharau kiswazi chetu tena zaidi mbele ya wageni.
 

Hahaha
 

Hahaha...mkuu umeua ila umesahau na lile la Am....na coz...
 
Lile ni jiji lingine kabisa na lugha yake ni inglish sasa ukifika tu pale automatically ulimi una geuka na kuzungumza lugha husika ya pale
 

Kuna maneno mengine ni aibu kuyataja kwa kiswahili Eg chooni. Ukitaja hilo neno watu mawazo yanawaenda mbali. Kuliko ukisema washroom au laviatory. Kidogo inaonesha ustaarabu. Tabia ya kujifanya hujui lugha ya kwenu ni usengerema na ufarasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…