Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

Utabaki salama endapo utakuwa na kadi ya chama otherwise andika wosia kabla mwana wa adamu hajatuma watu wasiojulikana waje wanyanyuke na wewe...

Juma tatu naenda kuchukua kadi ya chama haya maisha sijayazoea walai ya kuviziana
kabisa. Chukua hata kama huipendi. Na nyumbani kwako weka bendera ya CCmkabisa.
 
Utabaki salama endapo utakuwa na kadi ya chama otherwise andika wosia kabla mwana wa adamu hajatuma watu wasiojulikana waje wanyanyuke na wewe...

Juma tatu naenda kuchukua kadi ya chama haya maisha sijayazoea walai ya kuviziana

Wasubiri hao wasiojulikana huwa wanatembea na kadi...watakufanya mwanachama usiwe na wasiwasi
 
Back
Top Bottom