stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Ikitokea hivyo wallahy kutakuwa na bonge la sherehe nchi nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]******** anapigwa chuma nini
Ikitokea hivyo wallahy kutakuwa na bonge la sherehe nchi nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]******** anapigwa chuma nini
Next week ni hukumu ya sugu labda ndo itakuwa ishu kubwa kwa wiki ijayoMark this tweet...!!!![]()
Duh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24]
To be jailed.To be killed?
Acha uogaWekeni data za kutosha wakuu,ili kama tuikimbie nchi,tuanze mapema,uzuri Mimi naongea Lugha zote za wenyeji wa mikoa ya mipakani,na jirani zao upande wa pili,kuvuka boda faster,nafika upande wa pili,iwe Kenya,msumbiji kule mtambaswala,au Tunduma,au Kigoma,