Breaking News : DIWANI WA CHADEMA MOROGORO AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA - MUAFRIKA HALISIUtabaki salama endapo utakuwa na kadi ya chama otherwise andika wosia kabla mwana wa adamu hajatuma watu wasiojulikana waje wanyanyuke na wewe...
Juma tatu naenda kuchukua kadi ya chama haya maisha sijayazoea walai ya kuviziana
Yah natambua hilo. Bt ile barua ya yule msajili yule... Na namna anavyoyachukulia mambo ya opposition inaleta ukakasiChama cha siasa hakifutwi hovyo hovyo tuu
Utakua bei sawa na ile ya Noah ya makinikiaNauli ya kwenda Zimbabwe ni sh ngapi?
Naiona comment/andishi lako kuhusu dadako mange kimambi D-Day asee (unknown peoples) huwaogopi?Hapana kaka hatujafika huko
Halina ubaya lakiniI See
Naiona comment/andishi lako kuhusu dadako mange kimambi D-Day asee (unknown peoples) huwaogopi?
Maybe? Utawala huu utatufanya tuone kila kitu ni cha kawaida tu!To be killed?
Bila matukio watu wanakosa ya kuongea, taifa la watu wa ajabu sana.Nchi ya matukio...
Symbolically, hiki ni kitisho kwa Watanzania kutoka kwa Mtanzania asiyejulikana.
Kwani anachokisema hua ni kweli au uongo?Mnafiki tu huyo wakt sie tunamueleza bora ukae kmy Brother kuliko kumpigia kampeni dictator uchwala lkn yy wapi kisa lowasa alimfanyia dhuruma kumfuta kazi TISS nakutaka kumtoa roho yke hata mie sikuwa upande ule lkn ni bora kukaa kmy kuliko kumshabikia mtu ambaye unajua kbs anakuja kuturudisha nyuma karibu miaka 50 hlf leo hii nae anajifanya mtetezi mnafiki tu huyo ana lolote...