Puyugu 01
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 573
- 455
Apumui wala hajambi, Mungu ni wawote ila Magufuli ni wao pekeyao.Ndugai anaendeleaje?
Apumui wala hajambi, Mungu ni wawote ila Magufuli ni wao pekeyao.Ndugai anaendeleaje?
Diamond washampa taarifa kitambo, subiri watangaze usikie nyimbo za maombolezi na mapambio siku hiyohiyo.Mkuu vipi tuandae mistari ili wakitangaza tuingie studio au tununue viroba
HahahahaMark this tweet...!!!![]()
🙁Hajambo
Mark this tweet...!!!![]()
Na nguo anunue za rangi ya mbogambogakabisa. Chukua hata kama huipendi. Na nyumbani kwako weka bendera ya CCmkabisa.
Never Interfere With an Enemy While He’s in the Process of Destroying HimselfSugu miaka kumi jela
Mark this tweet...!!!![]()
Ramani ipo hivi.. "X" atatoka naturally. "Y" atatolewa kwa nguvu. Huku "V" akiwekwa kwa nguvu sehemu ile ili aje kuwa "X".Mark this tweet...!!!![]()
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chatoa tamko km la chama tawala cha nchini afrika ya kusini..""Mark my words""
kwa ghafla namna hiyo?Ramani ipo hivi.. "X" atatoka naturally. "Y" atatolewa kwa nguvu. Huku "V" akiwekwa kwa nguvu sehemu ile ili aje kuwa "X".
Mmenipata?
[HASHTAG]#Markthiscomment[/HASHTAG].
mshana jrChama Cha Mapinduzi (CCM) Chatoa tamko km la chama tawala cha nchini afrika ya kusini..""Mark my words""
Aisee....usilete uchochezi!Yajayo yanahuzunisha na kutia simanzi
![]()
![]()
Tupe mpaaango
![]()
kila mtuuu, anatamani kujua mpango, mpango, na mpango wangu niiiiiiiiiii.

Vitu vikubwa huwa siri havitangazwiEvarist Chahali ni Afisa Usalama mstaafu, mbobevu katika masuala ya intelijensia na upelelezi,ujasusi na ukachero...
kwa hiyo usishangae kusikia kitu kikubwa kikitokea, vuta subira