Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
aiseee kumbe Jamaa ndiye CV Yke hiyo ...kweli hii inapaswa kuitwa PANAPOFUKA MOSHI..Evarist Chahali ni Afisa Usalama mstaafu, mbobevu katika masuala ya intelijensia na upelelezi,ujasusi na ukachero...
kwa hiyo usishangae kusikia kitu kikubwa kikitokea, vuta subira
hahaa hiyo kwa RAIA NI good newsUshaambiwa 'DISTURBING NEWS' kwani hiki unachosema ni disturbing au good news???
Kutimuliwa wapi? Hawa watu huwa hawatimuliwi, kile kiapo kinabaki milele no matter what. Ni wasaliti hawa watu na hawaaminiki.EVARIST CHAHALI, ALIWEKA BANDIKO KUWA 'KILA MTZ MWENYE MAPENZI MEMA, APGE KELELE KUHUSU YANAYOENDELEA' LAKN AKANIACHA HOI KUWA ALIMPGIA DEBE MAGUFULI KWA SABABU ZAKE BINAFSI... SASA MTU ANAYEMPGIA KAMPEN KIONGOZ KWA SABABU BINAFSI, ASIAMINIWE.. UZALENDO NI KULINDA MASLAHI YA TAIFA.. CHAHALI, ALISTAHILI KUTIMULIWA
Kufa kwake sio habari...kwasavabu ni mgonjwa. Habari ni kifo cha AquilinaHahaaa....!!
Watu humu ndani mna vituko khaaa mbona mnaulizia hali ya faru ndugai kwani mmeambiwa israel anataka kupaa nae au???
Is the indication that people are unhappy or are having great difficulties....What a life.
AiseeMark this tweet...!!!![]()
Muheshimiwa Kazi, alie mnyuka mgombea mwenza na rungu.....Mmh nani huyo
Usichanganyikiwe mkuu, hii ndio TanzaniaMm ndio mnanivuruga kabisa mana ishakuwa bandika bandua yani hatupumui. Sijui series ya ngapi sasa tusha fika.