To be killed?Lets wait "n see tetesi mbowe wanted by sizonje
Not over my dead body. Sentensi hii aliisema Mbowe wakati wa kumpokea LowasaNot over my dead carcass
Hahaaa....!!
Watu humu ndani mna vituko khaaa mbona mnaulizia hali ya faru ndugai kwani mmeambiwa israel anataka kupaa nae au???

Hiyo si ataomba rufani na atashinda hata kama ni court of appealMmmmh si kuhusu hukumu ya kesi dhidi ya jamaa yule wanayemuita Rais wa nyanda za juu kusini? Akili yangu inanituma huko kila nikitafakari hii post ya Chahali
Mkuu vipi tuandae mistari ili wakitangaza tuingie studio au tununue virobaMtu ashakufa,next week mbali.
Hawa faru ni adimu duniani mnataka mmtoroshe? uyo Israel hamjui JPM athubutu aoene,JPM hajaribiwiHahaaa....!!
Watu humu ndani mna vituko khaaa mbona mnaulizia hali ya faru ndugai kwani mmeambiwa israel anataka kupaa nae au???
Ungetoa hiyo 'dead' ingependeza zaidi bossNot over my dead carcass
Hapo alifeli sana. Hawa ma socialmedia activists (keyboard warriors) ni wazinguaji tu. Ni kama yule wa tarehe 26EVARIST CHAHALI, ALIWEKA BANDIKO KUWA 'KILA MTZ MWENYE MAPENZI MEMA, APGE KELELE KUHUSU YANAYOENDELEA' LAKN AKANIACHA HOI KUWA ALIMPGIA DEBE MAGUFULI KWA SABABU ZAKE BINAFSI... SASA MTU ANAYEMPGIA KAMPEN KIONGOZ KWA SABABU BINAFSI, ASIAMINIWE.. UZALENDO NI KULINDA MASLAHI YA TAIFA.. CHAHALI, ALISTAHILI KUTIMULIWA

Ushaambiwa 'DISTURBING NEWS' kwani hiki unachosema ni disturbing au good news???Km ni hili la faru ndugai bora mola ampende tu jomoni