Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

Mark this tweet...!!!
e29a228de0f46f5d44083db4ce6472cd.jpg
Mnafiki tu huyo wakt sie tunamueleza bora ukae kmy Brother kuliko kumpigia kampeni dictator uchwala lkn yy wapi kisa lowasa alimfanyia dhuruma kumfuta kazi TISS nakutaka kumtoa roho yke hata mie sikuwa upande ule lkn ni bora kukaa kmy kuliko kumshabikia mtu ambaye unajua kbs anakuja kuturudisha nyuma karibu miaka 50 hlf leo hii nae anajifanya mtetezi mnafiki tu huyo ana lolote...
 
Aisee wapi zinapatikana kadi za ccm za chapchap?
Bei yake? nataka niilipie hata kwa miaka 4 lkn nianzie na 2014 au 2015.
 
Mungu wetu ni Mungu wa upendo, tusiogope binadamu ambao akishaua mwili hawezi kuua roho. Ila nae atakufa na kwake Mola atahukumiwa sana na damu ktk mikono yake.
 
Kama kuhama acha wahame tu kama mtu kufa ni mpango wa Mungu, kama amani kupotea ni Mungu haruhusu japo hatujazoea vita
 
Back
Top Bottom