Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Yanga inaenda kumpoteza aziz ki , rulani mokwena ameshamakiza hesabu , ki uwezekano mkubwa ataenda mamelodi.
 
Attachments

  • 0B9F918F-AD43-4C68-AB8C-638D8BDE513B.jpeg
    0B9F918F-AD43-4C68-AB8C-638D8BDE513B.jpeg
    1.3 MB · Views: 9
Wee mapaziaa umevurugwaaa au? Wana mjadili aziz ki kwa kukosa penalt?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Maradona mwamba kuliko mchezaji yoyote hata mesi au pele hawana ubavu alikosa penati .
Roberto baggio alikosa ,wajerumani walikosa , zidane alishakosa , bado kukosa kwa aziz ki hakupunguzi ubora wake, jana alifunga goli la ushindi bahasha na ukubwa wa motsepe vikageuza matokeo!
 
Bas bahasha hizo walipokea Aziz ki, Job na bacca.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom