Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,691
5,451
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.

Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.

Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.

Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.
1AACEF84-CB80-4080-8EB6-C997E4E76B93.jpeg
 
Na amegoma kukaa kule kigamboni kwenye hostel kama za chekechekea yaani kifupi aziz ki kwa mwezi atatumia kama mil 35 walijua wanaikomoa simba kumbe wanajimaliza wenyewe.
Na asipopafomu vizuri sijui itakuwaje?😳😳
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom