kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,307
- 15,027
Kaka OKW BOBAN SUNZU niaje ndugu yangu
.KABETI VIBAYA
Jamaa hajui kutofautisha, si Bure mambo yake mengi hua unabahatishabahatisha .yaan nacheka sana huyu jamaa hii nyuzi ya pili anazingua kuna ile ya mfananisho wa mayele na kibu
.
Huu sio 2022 wamefukuaKaburi la 2022 limefukuliwa dadadeq!
.Mwasi za leo?
Umepotea sana mkuuKama wa Mayele
Wee mapaziaa umevurugwaaa au? Wana mjadili aziz ki kwa kukosa penalt?Dunia nzima leo inamjadili azizi ki
Afu kuna lijinga limeshiba kunde linamkana aziz ki