Kigwangala alia na serikali

ukiwa mwanachadema siku zote lazima ufikirie kwa kutumia masaburi. Ni ujinga ulioje kwa mtu aliekuwa akiwatetea wananchi wake halafu hapa watu wanakuja na kejeli za kimasaburi. Pumbafu yenu wote mnaotumia masaburi kufukiria.
Viva kigwangala. go go go, achana na haya machizi ya chadema. Au wengi wao ni mataahira nini? Mbona hamueleweki nyinyi watu? au mnapigania nini? Hii haki mnayoimba kumbe ni changa la macho? wananchi fungueni macho muwaone hawa the so called chademaz kwa uhalisia wao.

Anatetea Kitu Gani Huyu? Anatafuta Huruma ya 2015!! Hana Lolote!! Wanaotetea Watu Unajifanya Huwajui? Acha Hizo Hapa JF Wengi Sio Bendera Kufuata Upepo!! Kajipange Upya. Mwenzenu anayewajua ndio alisema wote Mnatumia Masaburi Pamoja na yeye Mwenyewe!!
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

kuna sehemu alisema CCM wana namna yao ya kuwasilisha malalamiko, tena akamponda Bashe kwa kulalama.......... SASA YEYE ANAFANYA NINI?

MAMBAFFFFFFFF
 
Angemalizia kwa kutoa mifano hai kama jinsi dhuluma ilivyozidi nchi hii kiasi kwamba mtu anaweza akachaguliwa na wananchi lakini serikali ikamnyang'anya ushindi wake na kumpa mtu aliyeshika nafasi ya tatu kwa kuwa tu ni mtu wao. Hapo hata mie ningemwelewa.
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

'Klasi meti' mbona kina Slaa, Mbowe, Lema, Ndesa, Lissu, rafiki yako Zitto etc...Polisi sasa kwao imekuwa kama kijiwe cha kahawa kwa sababu hiyo hiyo tu ya kutetea dhuluma!? Kama ni mteteaji wa kweli basi nawe utazoea tu kama wenzako na wala hutaona ajabu au kuna la kulalamika!
 
Mh..Lema alshaongea khs mapolisi...Mh..Lisu alishazungumzia khs wawekezaji kule nyamongo...ila magamba hamkusikia...
 
Mbunge wa Nzega(CCM) Dr. Hamis Kigwangala amefikishwa mahakamani leo hii saa nane mchana kutokana na sakata la kufunga mgodi.
 
kigwangala mnafki mkubwa kama kwl anauchungu na anatetea wananchi ajivue gamba ajiondoe kwa mafisadi anadhani kuna mtoto wa kumdanganya hapa
 
" Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."[/QUOTE]

Lol! Great thinkers msome maandishi ya wengine kwa makini. Huyu mheshimiwa alikuwa anatetea "dhuluma na ukandamizaji" si haki na uhuru. Kwa hiyo hayuko mbali wala kinyume na viongozi wengine kwenye chama chake. Watanzania tunachotaka ni haki na uhuru na wala si vinginevyo. Kama alikuwa anatetea dhuluma basi ndiyo hiyo tena imemrudi (na kumtia adabu) na iwapo alikuwa anatetea ukandamizaji angalau amenusa harufu yake.

Dawa ya mjinga ni kuumia!
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

Kumbe Kigwangala ni shabiki wa Man?!

mashetani mekundu yamempanda.
 
huyu nae sijui ana matatizo gani, yaani unapingana na watu wanaokupatia ugali?? Njoo CDM kama kweli unamaanisha unachokisema, huko waache akina Six
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

'Ndio ukome'
 
apige chini tukapige mzigo nzega.
zikipigwa chaguzi ndogo tano mpaka 2015 ccm itafilisika kwa sababu kura moja wanaigharimia kama laki mbili.
 
kuna sehemu alisema CCM wana namna yao ya kuwasilisha malalamiko, tena akamponda Bashe kwa kulalama.......... SASA YEYE ANAFANYA NINI?

MAMBAFFFFFFFF
Son...yo got a head, and your neuron seem not to have a single damage as a result of this life sort of......This Man Kigwa....is just singing a crazy song.
 
huyu nae sijui ana matatizo gani, yaani unapingana na watu wanaokupatia ugali?? Njoo CDM kama kweli unamaanisha unachokisema, huko waache akina Six
trust me, chadema doesnt need huyu jamaa

atawavuruga kupita kiasi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom