Kigogo TRA Kufukuzwa kazi

Kigogo TRA Kufukuzwa kazi

Maembe yote yameoza kwenye tenga. Kuondoa moja au mawili hakubadilishi ukweli. Uvundo haukwepeki!
 
Tunapiga kelele tu humu ndani; IPTL ni mchongo wa CCM kutafuta hela za kugharimia kampeni 2015. Watanzania wajinga watalambishwa Tshirts, Kofia, Khanga, na scarf halafu wataichagua CCM.

IPTL/Escrow ni EPA nyingine, same technics with the same purpose.

Kuelekea 2015, CCM na serikali yake watafanya ufisadi mwingi sana ili kutafuta hela za kampeni ya uchaguzi mkuu.

Vv
 
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.

Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.

pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.
We mwongo,P.luoga alisha staafu kitambo sna wala sio mfanyakazi wa TRA
 
Mwigulu amesema wote wakamatwe,wafukuzwe kazi,washitakiwe mahakamani na pesa zote zirudishwe serikalini.haponi mtu hapo yeyeote anayehusika hatapona hii ni kutoka jikoni alfajiri hii

Mwigulu ni nani kwenye hii nchi? Ni Rais wa wapi na ana mamlaka gani juu ya hao wezi ambao wengine ni senior kuliko yeye?

Yaani Watanzania tumefikia mahali pa kumwamini kila mtu? Tunasikitisha sana.

Vv
 
lazima ang'oke na yeye....sio unakuwa mtendaji mkuu afu unachekelea tu mambo yanavyokwenda
 
Vipi kuhusu na yule meneja wa Ilala aliyevuta 1.6b naye atashughulikiwa? Kama kweli mwigulu atafanya hivyo for the first time nitamvulia kofia.
Nani kawaambia naibu waziri ana mamlaka hayo?
 
Tunapiga kelele tu humu ndani; IPTL ni mchongo wa CCM kutafuta hela za kugharimia kampeni 2015. Watanzania wajinga watalambishwa Tshirts, Kofia, Khanga, na scarf halafu wataichagua CCM.

IPTL/Escrow ni EPA nyingine, same technics with the same purpose.

Kuelekea 2015, CCM na serikali yake watafanya ufisadi mwingi sana ili kutafuta hela za kampeni ya uchaguzi mkuu.

Vv

Noted mkuu.
 
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.

Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.

pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.

Umenena vizuri, watu wa Musoma hususani Wakurya hawana hulka ya wizi bali ni majambazi makatili hakuna mfano wao.
 
anaumwa. hahaha!!

Halafu kabla hili dude halijakolea moto, kila siku tulikuwa tunaoneshwa mipicha huko ughaibuni namna profesori anavyoendelea na matibabu...

Baada tu ya ishu kuwa nzito naona ile series imeisha hakuna na picha wala hakuna anayetuma habari za anaendeleaje tena...
 
Tunapiga kelele tu humu ndani; IPTL ni mchongo wa CCM kutafuta hela za kugharimia kampeni 2015. Watanzania wajinga watalambishwa Tshirts, Kofia, Khanga, na scarf halafu wataichagua CCM.

IPTL/Escrow ni EPA nyingine, same technics with the same purpose.

Kuelekea 2015, CCM na serikali yake watafanya ufisadi mwingi sana ili kutafuta hela za kampeni ya uchaguzi mkuu.

Vv
Siyo kweli kwamba huwa wanaichagua CCM, kura zinaibiwa. CCM ina jumuiya nyingi, kuna polisi, tume ya uchaguzi, uvccm n.k
 
Mwigulu ni nani kwenye hii nchi? Ni Rais wa wapi na ana mamlaka gani juu ya hao wezi ambao wengine ni senior kuliko yeye?

Yaani Watanzania tumefikia mahali pa kumwamini kila mtu? Tunasikitisha sana.

Vv

Mng'oa kucha na meno bila ngazi pia no naibu waziri wa fedha vilevile anaongoza ccm naibu katibu bars!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom