Kigogo TRA Kufukuzwa kazi

Kigogo TRA Kufukuzwa kazi

Halafu kabla hili dude halijakolea moto, kila siku tulikuwa tunaoneshwa mipicha huko ughaibuni namna profesori anavyoendelea na matibabu...

Baada tu ya ishu kuwa nzito naona ile series imeisha hakuna na picha wala hakuna anayetuma habari za anaendeleaje tena...

keshapona. anasubiri kuja kuteua baraza jipya
 
in a fair state ya governance, rais angekua vigumu kupona, lakini kwa nchi kama Tanzania, rais atapongezwa kwa chochote kitakachotokea kizuri au kibaya, wapo wapumbavu wanaandaa maandamano ya kumpongeza

We have a gimmick president.
 
Acheni Upuuzi wenu...Luhoga hayuko TRA mwaka wa pili sasa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom