kukukakara
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 496
- 164
Mkuu mbona mlikuwa mkitetea mahakama iheshimiwe Mara ghafla mnarudi bungeni tena?
Kaa LA moto, ameliachia fasta
Mkuu mbona mlikuwa mkitetea mahakama iheshimiwe Mara ghafla mnarudi bungeni tena?
Anna Makinda angekuwepo hapo angesema..." wewe Kafulila ulim-provoku jaji Werema, na yeye aka-provokika matokeo yake ndio hayo..."Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.
pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.
naibu Waziri humuwakilisaha waziri kama hayupo, Waziri wa kilimo yupo nje ya nchi
Tatizo kubwa la Mhe. Nchemba ni kupenda sifa hasizositahili, anakera sana. Utafikiri yeye ni waziri kamili. Mbona naibu mwenzie Mhe Adam Malima hana kimbelembele kama Mwigulu! ?
mkuu vipi huko ukonga kuna nini? Mimi nina imani kama ya Zambi ya kwamba watu wa Musoma wamekuwa waaminifu sana si wezi kama wa sehemu zingine za nchi. Lakini hili sakata linawaweka pabaya watu hawa.This ESCROW disaster ni reflection ya how low serikali ya JK na Pinda imefikia, umekua mnara wa babeli, hakuna accountability wala nini, kuna shida tupu, wizi na kutukuzana mama
Imagine, Chenge, kila jambo baya yupo lakini ndio chief writer wa katiba pia.... that alone discredit efforts zote za JK regardless ana nia au dhamira gani kama kiongozi mtanzania (na JK husema anaipenda TAnzania... well how do you hurt someone you love sooooo much that the suffering becomes ni kitu cha kawaida??)
Mkuu una uhakika na hilo swali hapo kwenye red....?? Umeshapita kule ukonga ukaona mambo?
Jambo liko bungeni mahakama inaingiaje wakati wabunge wamesema wasiingiliwe maamuzi yao.
Kwani rais ni mhasibu wa iptl?tatizo mnaingiza siasa kwenye mambo ya msingi,na mnasahau kuwa sio nyie pekee mnaweza kuleta siasa humu.
Mkuu mbona mlikuwa mkitetea mahakama iheshimiwe Mara ghafla mnarudi bungeni tena?
hao magamba kutwa ku support upumbav tu....Maccm bwana sasa unataka wasipelekwe mahakamani? Tayari waizi wanafahamika wengine wamekiri wazi kupokea hizi fedha kinachosubiriwa Ni mapendekezo ya kamati kwa Bunge Ili serikali iagizwe kuwachukulia hatua majambazi ya ccm yaliyohusika.
Kwa upuuzi ambao serikali hii ya Prof Busha inavyofanya yaani sio siri hata yeye mwenyewe kama ni nchi za wenzetu angebidi ang'oke toka kwenye ile kashfa ya EPA iliyomwingizia madarakani iala kwa kuwa nchi yetu hawa wanasiasa mchwara wapo juu ya sheria mambo yanawezwa kumalizwa kimya kimya
mkuu hivi ni nani anahusika hapo? Tunaambiwa Baraza la Mawaziri lilibariki kutolewa kwa pesa hizo. Tunaambiwa AG alimwambia PS wa Nishati azitoe pesa hizo kwani ni uamuzi wa mahakama na kama angekaidi ingekuwa contempt of the court. Kisha tunaaqmbiwa watu wakaanza kugawiwa hizo senti: majaji, mawaziri, makatibu wakuu, maaskofu, wabunge, makamishna, wafanyakazi wa banki, nk.Mwigulu amesema wote wakamatwe,wafukuzwe kazi,washitakiwe mahakamani na pesa zote zirudishwe serikalini.haponi mtu hapo yeyeote anayehusika hatapona hii ni kutoka jikoni alfajiri hii