Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.
pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.