Elinewinga
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 632
- 175
Maelekezo ya mwigulu hayo chezea mtoto wa mkulima wewe kamweleza live waziri mkuu kuwa ni lazima pesa zirudishwe na watu wapelekwe mahakamani hakuna kujiuzulu hapo.
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.
pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.

Hata mimi kumbukumbu zangu zinaonyesha huyu Mwl.Si mwajiriwa wa TRA kwa takilibani mwaka mmoja uliopita.Luoga mna uhakika bado ni mwajiriwa wa tra...huyo ni mstaafu checking na tra wenyewe ....napita tu jamani.
Kwahiyo hii thread ndo zile za kutungwa ili kupima reaction ya watu?.
watu wanahangaika bure hapa jf.
kura ziko vijijini kule si humu jf ambako kila mtu anajua nini anataka.
This ESCROW disaster ni reflection ya how low serikali ya JK na Pinda imefikia, umekua mnara wa babeli, hakuna accountability wala nini, kuna shida tupu, wizi na kutukuzana mama
Imagine, Chenge, kila jambo baya yupo lakini ndio chief writer wa katiba pia.... that alone discredit efforts zote za JK regardless ana nia au dhamira gani kama kiongozi mtanzania (na JK husema anaipenda TAnzania... well how do you hurt someone you love sooooo much that the suffering becomes ni kitu cha kawaida??)
Mkuu una uhakika na hilo swali hapo kwenye red....?? Umeshapita kule ukonga ukaona mambo?
in a fair state ya governance, rais angekua vigumu kupona, lakini kwa nchi kama Tanzania, rais atapongezwa kwa chochote kitakachotokea kizuri au kibaya, wapo wapumbavu wanaandaa maandamano ya kumpongeza
Kama hayo yatafanyika kwa Bwana P. Luhoga, basi yafanyike pia kwa Anna Tibaijuka hasa kwa sababu amekiri lkn pia kwa wote waliohusika na mgao huo kutoka PAP kwa bwana Seith na VIP kwa yule bwana tajiriiiii wa kihaya!
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.
pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.
wewe unazungumza rais ata waziri mkuu ambaye ndie baba wa mawaziri hili ataepushwa nalo wataondoka madagaa tu
hivi hii ishu kwa nini mkulu wa nchi anawekwa kando...???
Hivi kwa nini JF siku hizi great thinkers wana-discuss tetesi? mtoa habari ye ni nani mpaka apate taarifa nyeti na nyingi kama hizi na kuaminiwa hapa JF just like that?