Kigogo TRA Kufukuzwa kazi

Kigogo TRA Kufukuzwa kazi

Luoga alisha staafu muda nafasi yake ikachukuliwa na Bade kisha kitilya kustaafu na bade kuukwaa ukamishina.

Mtu aliekwisha kustaafu tena anaweza kufukuzwa kazi?itakua ni Tanzania pekee.
 
Unamwingiza tu kirahisi tu pole yako.

Nakushauri ufuatilie historia ya IPTL...hii ishu ina mizizi mirefu na ndio maana imetikisa kuliko upuuzi mwingine wowote uliopatwa kufanywa na serikali
 
Madaraka aliyo nayo ni mengi sn kiasi ni kz kumuingiza ktk maswala km haya...! Lazima ujizatiti kweli kweli!

Jaribu kuvikumbuka vyeo vya nyuma vya mkulu halafu riletisha na besidei ya skendo la IPTL...
 
wewe unazungumza rais ata waziri mkuu ambaye ndie baba wa mawaziri hili ataepushwa nalo wataondoka madagaa tu

Walau Kayanza katajwa tajwa lakini mgonjwa naona hawamtaji kabisa...
 
in a fair state ya governance, rais angekua vigumu kupona, lakini kwa nchi kama Tanzania, rais atapongezwa kwa chochote kitakachotokea kizuri au kibaya, wapo wapumbavu wanaandaa maandamano ya kumpongeza

Mwigulu, nepi na makonda ndio waandamaji front.
 
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.

Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.

pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.

Luoga alishaondoka TRA siku nyingi. Na hata kama angekuwepo, bodi ya TRA ndiyo yenye mamlaka kupitia kwa mamlaka ya uteuzi(Rais). Kwa hiyo Mwigulu wala Kamishna mkuu hawama uwezo huo.
Kwa uelewa wangu manaibu Waziri hawaingii kwenye vikao vya Baraza la Mawaziri. Sasa huyo Werema na Zambi wamekunjana wapi? Nje ya baraza inawezekana
 
Luoga alisha staafu muda nafasi yake ikachukuliwa na Bade kisha kitilya kustaafu na bade kuukwaa ukamishina.

Mtu aliekwisha kustaafu tena anaweza kufukuzwa kazi?itakua ni Tanzania pekee.

mbona marehemu mama zitto kabwe alipiga kula akiwa kaburini unashangaa jambo dogo ilo chezea chama cha matezi.
 
Ndugu zangu napenda kuwajulisha kuwa, nimepokea simu muda huu saa 23:55 usiku huu toka kwa mwandani mmoja hapa chini kuwa Placidus Luhoga ambaye naye alimegewa mgao wake wa katika sakata la Escrow atafukuzwa kazi maramoja na Kamishna wa TRA kwa maelekezo ya Naibu waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba,mara baada ya kufukuzwa atakamatwa na Acc.zake kuzuiwa, kufilisiwa na kufikishwa mahakamani.

Aidha, nimeelezwa kuwa, Tibaijuka amekubali kuachia ngazi.

pia nimeambiwa kuwa, ni kweli zambi na werema walitaka kupigana ndani ya kikao cha mawaziri baada ya Zambi kuhoji kuwa, Tangu lini watu wa musoma wakawa wezi na ilikuwaje AG. aruhusu wizi wa fedha. za umma.

Siku hiz wizara ya fedha haina waziri mwenye mamlaka ya mwisho. Hiv ni kwa protocal gani naibu waziri anasaini wakati wazir yupo. Sakata la escrow halina uhusiano wowote na mwigulu hii swala wa kupewa heshima ni Kafulila, mkaguzi mkuu na wapinzani waliolisimamia kidete. Kumuinject huyo mjinga mjinga wa singida ni kupotosha kabisa. TRA kamishina anateuliwa na raisi na naibu wazr hana mamlaka ya kumfukuza mfanyakazi wa tra. tra ni mamlaka kama hujui maana ya mamlaka kachukuwe kamusi.

Yaani kuna watu wajinga hapa, kwa matatizo yaliyoletwa na wizara ya fedha nchi hii hadi dawa kukosekana hosipitalini kwa mara ya kwanza toka uhuru unaweza pongeza hiyo mizigo iliyopo wizara ya fedha. Au mmelaaniwa nyie!! Kweli wamepewa macho lakin hawaoni.
 
in a fair state ya governance, rais angekua vigumu kupona, lakini kwa nchi kama Tanzania, rais atapongezwa kwa chochote kitakachotokea kizuri au kibaya, wapo wapumbavu wanaandaa maandamano ya kumpongeza
Kwani rais ni mhasibu wa iptl?tatizo mnaingiza siasa kwenye mambo ya msingi,na mnasahau kuwa sio nyie pekee mnaweza kuleta siasa humu.
 
Siku hiz wizara ya fedha haina waziri mwenye mamlaka ya mwisho. Hiv ni kwa protocal gani naibu waziri anasaini wakati wazir yupo. Sakata la escrow halina uhusiano wowote na mwigulu hii swala wa kupewa heshima ni Kafulila, mkaguzi mkuu na wapinzani waliolisimamia kidete. Kumuinject huyo mjinga mjinga wa singida ni kupotosha kabisa. TRA kamishina anateuliwa na raisi na naibu wazr hana mamlaka ya kumfukuza mfanyakazi wa tra. tra ni mamlaka kama hujui maana ya mamlaka kachukuwe kamusi.

Yaani kuna watu wajinga hapa, kwa matatizo yaliyoletwa na wizara ya fedha nchi hii hadi dawa kukosekana hosipitalini kwa mara ya kwanza toka uhuru unaweza pongeza hiyo mizigo iliyopo wizara ya fedha. Au mmelaaniwa nyie!! Kweli wamepewa macho lakin hawaoni.
Watanzania kwa lawama,sasa mwigulu amefanya kweli badala ya kusifu unalalamika tena eti protokali,huu ni unafiki mkubwa sana.hata ufanyeje wanafaki hawataisha hapa.
 
Luoga alisha staafu muda nafasi yake ikachukuliwa na Bade kisha kitilya kustaafu na bade kuukwaa ukamishina.

Mtu aliekwisha kustaafu tena anaweza kufukuzwa kazi?itakua ni Tanzania pekee.
Kwahiyo hii thread ndo zile za kutungwa ili kupima reaction ya watu?.
watu wanahangaika bure hapa jf.
kura ziko vijijini kule si humu jf ambako kila mtu anajua nini anataka.
 
naomba kujua tangu lini manaibu waziri ni wajumbe wa baraza la mawziri maana naona apo et zambi alitaka kupigana na werema kwenye kikao cha baraza la mawaziri....nahitaji ufafanuzi
 
naibu Waziri humuwakilisaha waziri kama hayupo, Waziri wa kilimo yupo nje ya nchi
 
Kwani rais ni mhasibu wa iptl?tatizo mnaingiza siasa kwenye mambo ya msingi,na mnasahau kuwa sio nyie pekee mnaweza kuleta siasa humu.

sijui upeo wako kwenye mambo ya governance... so let me not argue with you
 
This ESCROW disaster ni reflection ya how low serikali ya JK na Pinda imefikia, umekua mnara wa babeli, hakuna accountability wala nini, kuna shida tupu, wizi na kutukuzana mama

Imagine, Chenge, kila jambo baya yupo lakini ndio chief writer wa katiba pia.... that alone discredit efforts zote za JK regardless ana nia au dhamira gani kama kiongozi mtanzania (na JK husema anaipenda TAnzania... well how do you hurt someone you love sooooo much that the suffering becomes ni kitu cha kawaida??)

Mkuu una uhakika na hilo swali hapo kwenye red....?? Umeshapita kule ukonga ukaona mambo?

Ina uma ila kuna ukweli kwenye kauli yako mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom