Kutekwa kuuawa kubambikiwa kesi na PolisiccmAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Kutekwa kuuawa kubambikiwa kesi na PolisiccmAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Polisiccm wanamwinda wamubambikie kesi" ni Kama mchezo wa kitoto., Unagonga Geti (Hodi) alafu unakimbia kujificha huku unachungulia atafungua. "
Hakiki kupitia matendo haramu ya kishetani yanayofanywa na ibirisi wa ccmHii habari ya Polepole kuomba ukimbizi Sweden tunaihakiki vipi kuwa ni ya kweli?
Anzeni kujibu nyinyi ufisadi ulioibuliwa na CAG kila kona za CCMhana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.
hata hivyo,
inafaa aje ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na uhujumu uchumi 🐒
Kabla ya kwenda huko wewe utakuwa umekufa na wenzako kwa laana ya mliowaua kuwateka kuwabambikia kesi Uongoacha akauzee supermarket akichoka atarudi kuomba msamaa. Huyu hana la kulaumu serikali kwa sababu alikua kwenye serekali iliyo tesa sana watu, alikua kijana wa magufuli huyu, anatakiwa kufatwa huko sweden afungiliwe kesi, atatoa siri zote za walio kuwa wanaokotwa kwenye viroba.
Utabiri wa shekhe Yahya unaenda kutimia na pia ya Zambia na Senegal yanaenda kutokea TanzaniaKuna jambo kubwa linakuja
Kwani nchi hiyo hawajui kuwa alikuwna na awamu ya tanoSijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Wewe guluguja ngumbaru jifunze tofauti ya ibilisi na ibirisi kwanza.Hakiki kupitia matendo haramu ya kishetani yanayofanywa na ibirisi wa ccm
Halafu huyo ni teacher etii!!Dada hujui hata Cuba iko wapi?
Yeye amekanushaSijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Yaliyotukia kipindi Polepole ameshika hatamu chini ya Magufuli na yanayotokea wakati wa Samia, utofauti ni mdogo, kwa mtazamo wangu. Japo anolopigia kelele bado ni changamoto za jamii.Ameomba hifadhi kwa MABEBERU yaani?
Yupo wapi MUSIBA? Huyu aliwatukana sana wazungu kipindi cha giza. Bila shaka Polepole alibariki vitendo vya ndugu MUSIBA.
Sasa musiba kajificha chooni na polepole yupo kajificha uzunguni.
Tajir hanuniwi. Hahaha
Wakati siyo milele
1. Polepole wa kipindi cha rasimu ya katiba mpyaNi za
Kwa kuwa sijui moyo wake hasa ngoja nisitie neno zaidi ya hili. Maana polepole wa 2020 na polepole wa kujiuzulu ubalizi ni watu wawili tofauti. Myahudi na muajemi. Hawafanani kwa kauli na matendo yao hata kwa kulazimisha.
ROFLAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
all corrupt civil servants must be prosecuted 🐒Anzeni kujibu nyinyi ufisadi ulioibuliwa na CAG kila kona za CCM
Maisha sio kula na kunywa tu fungua ubongo wakoMjinga wewe; kule na familia yake watakula good life. Milele
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?