Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,061
- 25,134
Cuba siyo Ulaya !!Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Cuba siyo Ulaya !!Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
🤣🤣🤣.sio kwamba maslahi yake yameguswa?Pole pole ana mapungufu mengi kama binafamu, ila kwa hili kapatia
Hofu ya ccm ni kushindwa, hawajui kuwa ndio njia ya kushindwa kwa haki.Tusiliombee vibaya Taifa letu badala yake tumwombe Mungu ampe hekima Rais akubali reforms zinazotakiwa, na mara nyingi nasema zikifanyika reforms sio lazima ccm kushindwa uchaguzi kama wananchi bado wana imani na uongozi wake serkalini.Akifanya hivyo zitakwisha
Tunataka Reforms, hatuhitaji pesa zao🤣🤣🤣.sio kwamba maslahi yake yameguswa?
Uzuri wana siasa wa Tanzania wanajua wa Tanzania wanataka nini?
Reforms ndio hyo aliyoifanya polepole?Tunataka Reforms, hatuhitaji pesa zao
Kwa sasa ameungana na wananchi hatujui huko baadaeReforms ndio hyo aliyoifanya polepole?
Wewe una dhani pole pole anaweza kufanya kitu Kwa ajili ya maslahi ya wananchi?
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Yaani kila mtu anakuja na udaku wakeKuna jambo kubwa linakuja
Alichokisema ni ukweli mtupu usip na doa.Truth pains but must be told.
Ameongea ukweli.
Mnasonga mbele na ushetani wa kuwateka na kuwaua wananchi!!Huyo Polepole unafiki ndio unamsumbua. Tangia mwanzo hakupenda katiba ifatwe baada ya kifo Cha Mh marehemu Magufuli.
Akakae tu huko Sweden , Tanzania inasonga mbele.
Asante.nitakuwa wa mwisho kumuamini.Kwa sasa ameungana na wananchi hatujui huko baadae
Yaan mkuu tupo pabaya nchi hii mtu alisema ukweli adhabu ni kutekwa na kuteswa na kuuwawa. Kweli nimelikubali ili ANDIKO
Mithali 29:27
[27]Mtu aliye DHALIMU ni CHUKIZO kwa WENYE HAKI;
Na MNYOFU wa mwenendo ni CHUKIZO kwa WAOVU.
MKuu polepole waovu wamemuumia meno
Hapo ndio wazi unajua akili za wachangiaji humu.....Cuba siyo Ulaya !!
Hutaaki Shutuma zipite kimya kimya ila kifo cha kibao na wengine ni sawa kupita kimyaSijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Nilijuaga wewe ni Smart aiseeAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Kama ni kweli habari hii, ifahamike yeye ndio alikuwa anaoongoza propanda chafu dhidi ya wanacdm waliokimbia utawala wa Magufuli, kuwa wameenda kutumika na mabeberu. Karma is a bitch.