Ni kweli sipo huko sababu nilimkataa EL tokea CCM siwezi kumkubali akiwa chadema...ndimi mbili anazo mbowe,genge lake nanyie misukule ambao hamjui kinachoendelea dogo!Watu wenye ndimi mbili huwa wanaitwa wanafiki, jaribu kuwa mbali na tabia hiyo!!
Mkuu ccm ni kichaaa tu,chenyewe kazi yake ni kuficha wahujumu uchumiMbona sijaona jina la kigogo,,,mnamuogopa kumtaja...halaf hata kama ni kigogo wa chama hiyo kampun haina uhusiano na ccm,,,
Ukiandika wewe kitu unachoona kipo sawa, unakuwa hautumiwi na mtu yoyote. Mawazo yako yapo sawa kabisa, akili yako ni sahihi kabisa. Hivi ndivyo mnavyofundishwa pale Ufipa. Poleni sana (maana mpo wengi).Hebu acha kutumika Na CCM mkuu, ni bora ukatubu watanzania tutakusamehe na Mungu akusamehe, ili uzee wako umalizie kwa amani, nakupenda ndo maana
Mzee haya maongezi umeyakuta katikati, kuna dogo mmoja anafikiria mtazamo wake ndio sahihi na ule wa wengine haupo sahihi.Wewe ndiyo unatoa leseni ya watu wanaohubiri haki? Au wewe ndiye mwenye kujua nani anaweza au hawezi kuhubiri haki?
Mkuu unataka kusema watanzania tunachafuka kukiwa ndani ya matumbo ya mama zetu? Kama c hivyo basi mfumo uliojengwa na ccm for 54 years ndo unachafua watanzania na kwa kuwa ccm ni kichaka cha wezi na wahujumu uchumi they will never agree kubalisha huu mfumo.Nchi hiim kweli kuna msafi hapa ?????????????
Dunia inajua Na watanzania tunajua, hata weye wajua nini wapaswa kufanya sema pesa imekununua, imekufanya kuwa kiziwi Na kipofu, mkuu litendee haki taifa lako Na watetee wanyongeUkiandika wewe kitu unachoona kipo sawa, unakuwa hautumiwi na mtu yoyote. Mawazo yako yapo sawa kabisa, akili yako ni sahihi kabisa. Hivi ndivyo mnavyofundishwa pale Ufipa. Poleni sana (maana mpo wengi).
Tenda haki, tetea haki, simamamia haki utauona ufalme wa MungulMzee haya maongezi umeyakuta katikati, kuna dogo mmoja anafikiria mtazamo wake ndio sahihi na ule wa wengine haupo sahihi.
Kwa akili yako kila anayepingana mawazo na wewe amepofushwa na fedha. Kwa sababu mzee wa monduli kawapofusha nyinyi na fedha mnafikiria kila mtu na yeye kaangukia katika mtego huo huo uliowanasa nyinyi. Jifunze kupokea opinions zinazotofautiana na za kwako.Dunia inajua Na watanzania tunajua, hata weye wajua nini wapaswa kufanya sema pesa imekununua, imekufanya kuwa kiziwi Na kipofu, mkuu litendee haki taifa lako Na watetee wanyonge
Ufalme wa Mungu upo kila sehemu, unaanzia moyoni mwa mtu. Wasi wasi wangu ni kwamba neno la Mungu pia linasema yule anayejiona amesimama na aangalie asije akaanguka.Tenda haki, tetea haki, simamamia haki utauona ufalme wa Mungul
Nunua Gazeti habari azipatikani kirahisi rahisi kama kuvuta buku saba lumumbsMtajeni jina tu hiyo kigogo!!
Kwani buku saba ni hela halali kwa mtanzanisKwa akili yako kila anayepingana mawazo na wewe amepofushwa na fedha. Kwa sababu mzee wa monduli kawapofusha nyinyi na fedha mnafikiria kila mtu na yeye kaangukia katika mtego huo huo uliowanasa nyinyi. Jifunze kupokea opinions zinazotofautiana na za kwako.
Nyinyi wa Ufipa mnalipwa kiasi gani?.Kwani buku saba ni hela halali kwa mtanzanis
Unaona kwakua umeshazoea kulipwa unajua kila mtu analipwa shirikisha ubongo kwenye kufikiriaNyinyi wa Ufipa mnalipwa kiasi gani?.
UKAWA mnachekesha sana, hiyo issue ya kulipwa aliianzisha nani kama sisi nyinyi?. Halafu mnapenda sana kutumia matusi kama vile yanauzwa sehemu fulani.Unaona kwakua umeshazoea kulipwa unajua kila mtu analipwa shirikisha ubongo kwenye kufikiria
Mkuu Karibu nyumbani Leo kwa chakula cha usikuKwa akili yako kila anayepingana mawazo na wewe amepofushwa na fedha. Kwa sababu mzee wa monduli kawapofusha nyinyi na fedha mnafikiria kila mtu na yeye kaangukia katika mtego huo huo uliowanasa nyinyi. Jifunze kupokea opinions zinazotofautiana na za kwako.
Na wewe ujiangalie ulipo simama,Ufalme wa Mungu upo kila sehemu, unaanzia moyoni mwa mtu. Wasi wasi wangu ni kwamba neno la Mungu pia linasema yule anayejiona amesimama na aangalie asije akaanguka.
Wenye akili zetu wala hatuulizi!Kinanani llabda mtaje!!!!!