Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #41
Lile Huwaro ndio linaaminika?SHIIIT! KUMBE TANZANIA DAIMA?? GEZETI LILILOPOTEZA MWELEKEO KITAMBO SASA AMBALO HALIAMINIKI TENA!
Lile Huwaro ndio linaaminika?SHIIIT! KUMBE TANZANIA DAIMA?? GEZETI LILILOPOTEZA MWELEKEO KITAMBO SASA AMBALO HALIAMINIKI TENA!
Gazeti lenyewe tanzania daima kazeti la majuha na wathirika wa ukabila.
SHIIIT! KUMBE TANZANIA DAIMA?? GEZETI LILILOPOTEZA MWELEKEO KITAMBO SASA AMBALO HALIAMINIKI TENA!
Waliosema Ccm ni Busha hawakukosea kabisaBandarini, Meli, ICD hadi Tembo kamaliza... so CCM itajikaanga yenyewe..? I wanna see this saga where is heading to....!!
Huu ndio unafki wa waandishi..si wamtajeMbona sijaona jina la kigogo,,,mnamuogopa kumtaja...halaf hata kama ni kigogo wa chama hiyo kampun haina uhusiano na ccm,,,
Fisi makao yake makuu ni jelalani kwahiyo sema jelala linawahusu
Hahaha ujanielewa ukiwa fisi kama wewe unawaza uchafu na uchafu unapatikana jelalani naona unaota ndoto za lumumbahata wewe mleta uzi, uhamiaji inakuhusu, jelala au jelalani ndo nini? wale pale mmoja kasema kazeti, mwingine GEZETI na wewe jelala, hivi nyinyi ni raia kweli, mnakijua kiswahili? mbona mnabananga sana
Ni Kinana, ebooo hujui kukonekti doti??Mbona sasa mtu mwenyewe hawamtaji? Au wanamuogopa?
Wale watatu Freeman Mbowa aliowataja Majipu wamefanywa nini?Huu ndio unafki wa waandishi..si wamtaje
..mmiliki wa ICD nyerere road si yuleeee....
Hahahah hivi ile Meli ipo wapi?Ni Kinana, ebooo hujui kukonekti doti??
Wale walioinunua CHADEMA wakitokea CCM na wenyewe hawapo salama.Vigogo wote wa ccm wanakashfa ya ufisadi,
Hahahah hivi ile Meli ipo wapi?

Wewe ulikaje labda? Uhuru au jambo Leo ndo liandike, acha kukaririshwaSHIIIT! KUMBE TANZANIA DAIMA?? GEZETI LILILOPOTEZA MWELEKEO KITAMBO SASA AMBALO HALIAMINIKI TENA!
Mkuu hivi yule fisi alokuwa kwenye mkutano wa Kinana wakati wanaimarisha Chama kahifadhiwa wapi, sijamsikia yapata mwaka sasaHahaha ujanielewa ukiwa fisi kama wewe unawaza uchafu na uchafu unapatikana jelalani naona unaota ndoto za lumumba
Na wewe pia uhamiaji inakuhusu, kubananga ndio nini?hata wewe mleta uzi, uhamiaji inakuhusu, jelala au jelalani ndo nini? wale pale mmoja kasema kazeti, mwingine GEZETI na wewe jelala, hivi nyinyi ni raia kweli, mnakijua kiswahili? mbona mnabananga sana
Mlishawapeleka Mahakamani?Wale walioinunua CHADEMA wakitokea CCM na wenyewe hawapo salama.
Umenikumbusha mbali sana isije kua amehschunwa ngoziMkuu hivi yule fisi alokuwa kwenye mkutano wa Kinana wakati wanaimarisha Chama kahifadhiwa wapi, sijamsikia yapata mwaka sasa
Yule fisi anamaana kubwa sana, pengine ndo roho ya CCMUmenikumbusha mbali sana isije kua amehschunwa ngozi
Yule nasikia ndio nyota ya ushindi anachumba mahalum hapo LumumbaYule fisi anamaana kubwa sana, pengine ndo roho ya CCM