Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Hawajaa siyo Lumumba jamani,wapo MASAKI na JK Kikwete alimwagiza Pombe ampe Ukuu wa Wilaya,Pombe kapiga kimya,hao jamaa ukitaka kuwajia utaona wanatumia lugha kama "manyumbu, wachagga,chama cha ukabila," ujue hao wapo Masaki,na Ile nyumba walopangishiwa na Mdosi wa Oil Com
 
SHIIIT! KUMBE TANZANIA DAIMA?? GEZETI LILILOPOTEZA MWELEKEO KITAMBO SASA AMBALO HALIAMINIKI TENA!
Ni kweli gazeti haliaminiki lakini Huyo Kigogo ana aminika ktk kashfa ya Makontaina.
 
Back
Top Bottom